Kwa bunge hilo la hovyo kuwahi kutokeaKina Lema wakiona hivi wanatamani kulia na kuamua kukimbilia tu Kenya
Ni jambo jema!
Trampo kilichomwondoa Wh ni pamoja na mipango duni ya kushuguurikia janga la Corona nchini mwake
Vivyo hivyo na Watanzania waliwakataa Chadema na wengi wa wapinzani Kwa kuikumbatia Corona!
Ni wakati sasa wa kuandikwa historia mpya Tanzania ingawa si ya kujivunia
Lakini itabidi iwe hivyo Kwa kuwa majaji ni Watanzania wenyewe, wameamua kuwanyima Kura wapinzani
Ila inauma na kuumiza
Acha kupotosha watu,kisa tu CHADEMA imepigwa chini. Lile ni bunge la JMT.Vikao vya ccm kwenye ukumbi wa bunge ndio bunge?
Hahaha, Mimi hayo sijui,Kura za kwenye mabeg ndio watanzania?
Acha kupotosha watu,kisa tu Chadema imepigwa chini. Lile ni bunge la JMT.
Wanaona na wana akili timamu wanajua kuwa kwa mujibu wa katiba ya JMT ni bunge la JMT,soma ibara ya 62(1) ya katiba ya JMT.Kwani hao watu hawaoni?
Wanaona na wana akili timamu wanajua kuwa kwa mujibu wa katiba ya JMT ni bunge la JMT,soma ibara ya 62(1) ya katiba ya JMT.
MKUTANO WA 12 WA CCM KIKAO CHA KWANZA WAMEANZA KUTENGENEZA MAZINGIRA YA KULANA BATA PALE IDODOMIYAKwani kuna bunge tena au mkutano wa CCM?