Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Hakuna simu iliyopotea tupo bungeni mkuu kila siku hakuna mtu aliyepoteza simu vitu vingine ni ukatuni wa hali ya juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kabisa hakuna simu iliyopotea kwa mjumbe yeyote tupo vizuri tunapiga kazi.ilikuwa simu ya kufikirika, mpango mzima kuhamisha attention ya jamii, mapambano yanaendelea
Ushauri wako umesababisha tumejua mengi. Kuwa Mwenyekiti wa bunge la katiba marehemu mzee Sitta alikuwa baba yake mlezi.Huuu uzi wa Makonda Usifutwe
cc; BAK, Elli na mshana jr hebu tupeni uzoefu wenu wa kiuchunguziUshauri wako umesababisha tumejua mengi. Kuwa Mwenyekiti wa bunge la katiba marehemu mzee Sitta alikuwa baba yake mlezi.
Hivyo ni wazi alitumia madaraka yake kumuokoa "mwanae" na tuhuma za wizi.
Wizi wa simu ni wizi mdogo, lakini unatoa taswira mbaya sana kama mtu alikuwa analipwa shs 300,000 kwa siku na anaiba simu Huyo ni zaidi ya kibaka wa kawaida au ana tatizo la kisaikolojia.
Kwa vile tumempa kuongoza watu milioni 4 wanaoishi DSM ni vema uchunguzi wa wizi ule uliopotezewa na mzee Sitta kumuokoa mwanae ufanyike upya ili kuwaokoa wana Dar na kiongozi wa aina hiyo.
Mnapiga kazi wapi nyie msaidieni Mkuu wa nji kupambana na rushwa , dhulma, ulaghai na mtoe elimu ya uraiya kwa wananchi wapate kujitambua na vile mlivyotuibia miaka ya nyuma mrudishe mara saba kama mathayo [emoji86] [emoji85]Kabisa kabisa hakuna simu iliyopotea kwa mjumbe yeyote tupo vizuri tunapiga kazi.