johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lichama la ccm ni outdated kabisa. Linategemea ujinga wa watu, propaganda na ubabe tu kutawala.Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.
Source Star tv!
Kwani wewe unaumwa corona?Lichama la ccm ni outdated kabisa. Linategemea ujinga wa watu, propaganda na ubabe tu kutawala.
Eti amedhibiti corona! Ni kwenye movie au?
Kwahiyo kama siumwi?Kwani wewe unaumwa corona?
Familia ya Mbowe inapaswa kumshukuru waziri Ummy pia!Ndungulile ana furaha yuko huru kujadili maswala kisayansi
Trump anakunywa just kujikinga na CoronaWamethibitisha kwa hivi vipimo vinavyopima mbuzi na mapapai?
Ujinga ni kipaji!
Corona imedhibitiwa!Kwahiyo kama siumwi?
Tukae tujadili familia ya Mbowe.Familia ya Mbowe inapaswa kumshukuru waziri Ummy pia!
Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.
Source Star tv!
Ndungulile ana furaha yuko huru kujadili maswala kisayansi
Kwani wewe unaumwa corona?
Corona imedhibitiwa!