Pelle mza
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 3,050
- 1,694
Wewe ndo una mzaa, toka kafanye kazi acha visingizio, waliokimbia bunge wamerudi!Ikikupata wewe ndiyo utajua kuwa hiyo mizaa yenu mnayo ifanya ina madhara kwa jamii
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo una mzaa, toka kafanye kazi acha visingizio, waliokimbia bunge wamerudi!Ikikupata wewe ndiyo utajua kuwa hiyo mizaa yenu mnayo ifanya ina madhara kwa jamii
In God we Trust
Haya, usisahau kusheherekea jumapiliCorona imedhibitiwa!
Hata kama Bunge zima lililipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo, ila ninaamini kila mbunge alifanya hivyo akiwa na sababu zake binafsi za kushangilia pongezi za uthibiti wa COVID-19 hapa nchini kwa waziri mwenye dhamana.Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.
Source Star tv!
Una takwimu? Kamati imetoa taarifa kwake na ametupa marejesho baada ya kututangazia kuundwa kwake, au unafuatisha mambo ya Bunge, kupongezana hata walipofuta Bunge live walipongezana bila kujali wananchi wa hisia gani!Tumpongeze
Wewe ndo una mzaa, toka kafanye kazi acha visingizio, waliokimbia bunge wamerudi!
Ni kweli,labda wanampongeza kwa kufanikkwa kuficha takwimu!Una takwimu? Kamati imetoa taarifa kwake na ametupa marejesho baada ya kututangazia kuundwa kwake, au unafuatisha mambo ya Bunge, kupongezana hata walipofuta Bunge live walipongezana bila kujali wananchi wa hisia gani!
Wewe, mke wako, mama yako, baba yako mmelazwa kwa covid-19?Lichama la ccm ni outdated kabisa. Linategemea ujinga wa watu, propaganda na ubabe tu kutawala.
Eti amedhibiti corona! Ni kwenye movie au?
Nchi imejaa ujinga na wajinga.
Hakuna takwimu zozote zilizotangazwa tangu 29th April, halafu watu wanashangiliana na kupongezana!
Yaani ukificha takwimu ndio tatizo limekwisha!
Ni kweli,labda wanampongeza kwa kufanikkwa kuficha takwimu!
Takwimu hujazisikia jana!Ni kweli,labda wanampongeza kwa kufanikkwa kuficha takwimu!
Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.
Source Star tv!
Ana haki ya kupigiwa makofi aisee ni beautiful sana yuleNaibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.
Source Star tv!
Naona mmeamua kumchongea Ummy kwa Jiwe. Yaani sifa mnampa yeye badala ya Jiwe! Lakini sawa tu kwavile sijawahi kuona Jiwe anamtumbua waziri ambaye alimteua yeye kuwa mbunge, labda atasalimika!Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.
Source Star tv!
Mjinga ni wewe ambae mpaka sasa hujajua kuwa vile vipimo haviwezi kupima sampuli tofauti toka kwa binadamu. Sampuli toka kwa mbuzi na mapapai ilikuwa mtego,vipimo vilipaswa kukataa. Any way Dj alikua anaokota mabaunsa,mtafanya nini sasa.Wamethibitisha kwa hivi vipimo vinavyopima mbuzi na mapapai?
Ujinga ni kipaji!
Lichama la ccm ni outdated kabisa. Linategemea ujinga wa watu, propaganda na ubabe tu kutawala.
Eti amedhibiti corona! Ni kwenye movie au?