SWALI MAHSUSI: Je,CCM walimcopy au kumuandikia barua ya kupoteza ubunge mhe Lazaro Nyarandu?View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Jizi ulimshtaki mahakama gani ? Acha propaganda za kitoto umeshakuwa mtu mzima !MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
wazee wa kijani....hahaha...haccm kweli imepoteza dira...
.hebu yakurupusheni na mengine yaliyobaki huku...kina chenge,ngeleja,tibaijuka,mwakyembe,magu alieuza nyumba za serikali na kivuko kibovu +uwanja wa chato.Hebu yatimueni fasta fasta fastaaaa
kina kikwete kina mkapa..hebu yatimueni majizi haraka sana
hahahahahhaa...CCM akili zenu MB 8 kulaleki
ila spika hatuna aisee.Mama makinda alikuwa anajitahidi sana.
Hapana ni kb 8
Na spika ni zero yaani zungusha!!
Unategemea nini kama washauri waandamizi ni Le Mutuz,Steve Nyerere na Jerry Muro.ccm kweli imepoteza dira...
Haaaa haaa nimecheka sana. Kuwa CCM lazima uwe zero brain !Tena siyo Kivuko kibovu tu bali KIVUKO CHA MWAKA 1948,yaani cha vita kuu ya pili
yule jamaa aliyesema huyo ni mwanachama wa kawaida tu kwenye press comference alikuwa hajui hili au nae ndoo analipata kupitia jf...mzee wa mwendo pole !!View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
ukiwa ccm sio jizi ukienda upinzani jiziMAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Hata Leo niliposikia kauli ya 'mtukufu' magogoni akisema majizi yanakimbilia chadema nikacheka mwenye na kujisemea, kumbe kweli ccm kuna majizi!Yakitokea wapi? Ukijibu hapa ndio nitaanza kupima kiasi cha mgando uliyomo kwenye medulla.
Wahaya wengi sio wachumia tumbo usiendekeze njaa kalie emp.......li.MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Sio utani bunge linaendeshwa na limoti na wasabwina kutoka lumumbaAhaha a hahaha kumbe ndio maana maamuzi ya kumteua Katibu wa bunge yalifanyika kwa mwendo kasi, kiasi kile ili yapitishe barua za magendo kama hizo?