Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
CCM kwa sasa inapelekwa pelekwa kama gari lililokatika senta bolti , Hivi hapa wanataka kumdanganya nani ?
Poor chama chakavu !
Poor chama chakavu !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..

Kama spika alimwambia Aache kuwasha washa.View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Msija mkakuta Nyalandu yupo kwenye mission.Hawa wameshanganyikiwa kabisa bora wangekaa kimya waulizeni hiyo barua kutoka kwa katibu mkuu ikimueleza spika kumvua Ubunge na kwa kikao kipi PolePole asiropoke wakati wa press yake juzi?
Akili ya kawaida nilitegemea kuona barua kutoka ofisi ya katibu mkuu CCM ikieleza kufukuzwa kwa Nyalandu ndipo ifuate ya Spika wamechemka
Picha Lazaro Nyalandu leo akiwa na Tundu Lissu hospital Nairobi leo.View attachment 621953
Hongera msomi wa digirii wewe na masisiem wenzako.Spika hawezi kusema mbunge huyu halali au siyo halali mpaka ipate taarifa kutoka mamlaka husika. sasa kama wameshapata taarifa si ni lazima watoe taarifa kwa umma. Tatizo lenu aslimia 80 ya nyumbu humu ni darasa la saba sasa ni vigumu sana kwao kuelewa taratibu na kuchanganua mambo.
Haa kumbe CDM kuna immunity dhidi ya jinai, ndio maana mahakama za mafisadi hakuna kesi kumbe majizi yote yameshachukua kingaCDM saizi ni Chaka la wezi, CDM limekuwa kimbilio la mafisadi. Majizi yote sasa njia nyeupe kwenda CDM
Kama mentally ungekua that exceptional usinge comment uliyo changia.Spika hawezi kusema mbunge huyu halali au siyo halali mpaka ipate taarifa kutoka mamlaka husika. sasa kama wameshapata taarifa si ni lazima watoe taarifa kwa umma. Tatizo lenu aslimia 80 ya nyumbu humu ni darasa la saba sasa ni vigumu sana kwao kuelewa taratibu na kuchanganua mambo.
Hiyo ni barua toka Bunge na tarehe ipo chini.Nimependa hapo chama cha mapinduzi kuanzia tarehe ya barua yao alafu tarehe haijaandikwa kwenye barua