The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Nyalandu ni Asset hakomi kutajwa na ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi ndo hasara za kukabithi nchi kwa washamba na malimbukeni wa madaraka wanafanya vitu vya kipuuzi sanaHii ndo kudhalilisha chama tukaonekana wote hatuna akili,
kwanza tangu lini ccm ikafukuza kwa faster hivyo bila hata kukaa vikao?,
sasa tumefikia hatua ya kugushi hadi barua
Katibu Mkuu wa CCM alitumwa na Raisi kwenyematibabu huko India amesharudi?Katibu Mkuu anadaiwa Kumfukuza wakati katibu Mwenezi hajui na anasema katumia haki yake,
Tanzania tukiamua kuyatumia maajabu yaliyoko hapa nchini vizuri hakika tutakua Donor Country
View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Mimi ninaamini bado yapo mengi tuu ccm,ila kwa sasa ni siri yetu au sio mkuu!MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Albadir sio kitu kizur et. Watu wanajimix tuuuYakitokea wapi? Ukijibu hapa ndio nitaanza kupima kiasi cha mgando uliyomo kwenye medulla.
😵If your brain stop to work try to use better your ass
Mwenyekiti wenu mwenyewe ndie amrish puri kubwa la maaduiMAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Yanazaliwa wapi?MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Kumbe walimvua...nilijua amejivua! !3. CCM imesema Okt. 30 walimuandikia Spika barua kuwa, Nyalandu amepoteza sifa za uanachama wake na kwamba wamemvua nafasi zote za uongozi.