Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Hoja dhaifu saana , kwa nn lakini pole pole anajifedhehesha namna hii maana Nchi yote tunajua kuwa nyalandu amekimbia chama na si kufukuzwa Uanachama.
 
Hii ndo kudhalilisha chama tukaonekana wote hatuna akili,
kwanza tangu lini ccm ikafukuza kwa faster hivyo bila hata kukaa vikao?,

sasa tumefikia hatua ya kugushi hadi barua
hizi ndo hasara za kukabithi nchi kwa washamba na malimbukeni wa madaraka wanafanya vitu vya kipuuzi sana
 
View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
 
Najaribu kuangalia hata barua waliyoitoa awali wameibadilisha sababu ya awali ilikua na makosa mengi ya kiuchapaji, pengine kasi iliyotumika kuichapisha ilikua ni beyond normal speed
 
Hata Polepole hajui kama Ccm ilishaanza kumchukulia Nyarandu hatua za kinidhamu!!?
Kweli Albadr inafanya kazi.....nilikuwa siamini
 
Shetani asiwashinde kwani hamkosi kuzijua hila zake!
 
View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..

Inawezekana haijafika au wameipokea lkn kama kawaida yao wanajichelewesha kuisoma ili ionekane ccm ndio wamemfukuza. Halafu sikuona uharaka wa spika kujibu angesubiri hata wiki. Najiuzulu leo kesho spika anatangaza kuwa hajapokea barua anawashwa na nini?? Unajua huduma zetu za posta barua waweza kuchukua hata 4days kufika Dodoma. Na Nyalandu alisema amwandikia spika barua ya kujiuzulu ubunge. Spika anachotakiwa angesubiri after seven days ndio azungumze. Ndugai aliwashwa na nini mpaka sasa anaendelea kutoa matamko. Kiofisi siku saba mpaka kumi na nne bado. Ndio official letters zinavyofanya kazi
 
Back
Top Bottom