Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;

Hata hivyo;

Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Una maana historia itasahau kuwa jumuia ya watanzania iliona na kusikia kauli ya Nyalandu kabla ya kuona na kusikia ya serikali. Hiyo historia itakuwa imeandikwa na kilaza wa vilaza. Hakuna wakati katika historia ambapo uongo uliwahi kushinda dhidi ya ukweli. Time will tell!
 
Kama wanaback date au kufoward tarehe zao za kuzaliwa ili wagombee Uvccm kwa hili sishangai. Ila inadhihirisha "UPUMBAVU" uliotukuka Wa spika. Na kwa kuonyesha kukudharau kuanzia Leo majina yako yote na wadhisha wako nitayaandika kwa herufi ndogo yote pamoja na wadhifa wako bwana job yustino ndugai sipika usiye na haya.
 
Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;

Hata hivyo;

Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Historia inaendana na events,
Event ya Nyalandu ilianza zikaja Ngonjera za SISIEM
 
Hhahahahahahah.Ivi CCM hawanaga hata watu wenye akili japo kidogo

View attachment 621951


Kinachoshangaza zaidi, ni jinsi hiyo Barua kutoka kwa Bunge inavyosomeka. Bunge linaitetea CCM, litawahi kwa kasi hii kuandika barua kama hii kwa Chadema kweli?

Yaani kama vile Bunge na CCM ni taasisi moja, au tuseme wapenzi. Hata kabla CCM haijasema kitu basi Bunge limeshaelewa lugha ya mwili tu. Ha ha ha!
 
Kwa kauli na barua za aina hii....Hakika Nyalandu hakukosea kuhama CCM!

Wametapatapa na kauli na hoja za kipuuzi mwisho wamedhihirisha ukweli CCM haina DIRA.

Ama kweli kumuua Goliathi haihitaji nguvu nyingi wala silaha nzito piga jiwe tuu akianguka mkate kichwa...
 
Hawa wanyiramba kibarua wanacho, wajipange Kweli, kama gwiji wao Lowassa kawa mpole, nawaonea huruma Sana
 
Kuna mambo ya kijinga sana Nchi hii. Wamechelewa, na hii kick mfu imebuma
 
Hahahaha hawa naona Albadir imewachanganya Akili, hata hivyo siamini kabisa kama hii barua imetoka kwenye mamlaka ya bunge
Mi binafsi hiyo barua ya binge hainisumbui kichwa na hata ya ccm isingenipa kiwewe! Kikao hicho cha kumfukuza Nyalandu kilikaa link na wapi? Maana, kilichokaa mara ya mwisho wengi wetu tulifikiri nape, bashe navwengieo wangebaraswa lakini wakaja na taarifa ya 'chama kiko imara'!

Ccm wajue watanzania si 'wadanganyika' katika zama hizi za tehama!
 
hahahaha.umeona eeeh.Yaani Bunge ndio linajifanya CCM..
Hapo msemaji wa CCM alisema kuwa

 
Kuna mambo yanayoendelea kwenye ulimwengu Wetu wa siasa na matamko ya kila aina vitisho na mining'ono ya kila aina ambayo kila siku yanatrend na kila tukio Linataka kufunika tukio lingine mfano Lissu alipigwa risasi siku chache zilikapita mstaafu wa jeshi kapigwa risasi ila sikuielewa hiyo movie punde madiwani wapelekwa mnadani wakadalaliwa wakafika bei cash na ahadi wakanunuliwa Duh! Nyalandu kajivua gamba anakimbilia gwanda ila hajiandae kisaikolojia suala la kulala rumande litakuwa kawaida kwake Mara paaaa Mwanza wasibomolewe maana ndio walionipa kura nyingi za Ukulu nikajiuliza vip wale wa dar na wa Kilimanjaro ni binadamu watofauti au si wananchi wa Nchi hii ila nadhani ni muwasho tu [emoji16][emoji16] Mara tumekusoma bunge alijapata barua ya Nyalandu kujivua ubunge ila fasta ya kuvuliwa uanachama dakika zero wameipata[emoji10] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji21] labda Kama alituma kwa email toka Arusha network haikuwa vizuri [emoji23] Mara paaaaaa eti wanaoama chama letu wanawashwa umbea spikaTwende zetu tukawashute Tafuta dila Babu weeee waache umbea dah ila TZ ya vioja Ngoja tuyaooone yatakayoendelea kujiri.
 
Ni aibu kwa ofisi ya bunge na CCM kufanya vitu kama hivi. Mheshimiwa Nyalandu alitangaza rasmi kuhama CCM sasa inakuwaje tena hii barua ya kufukuzwa CCM. Kuhama CCM ni dhambi?
 
Usikurupuke kijana, angalia katika hayo uliyohiglight kuna "Vitendo", meaning ufisadi included; sasa utakua umeelewa kilichoandikwa hapo. Au wewe ulitaka iandikwe ufisadi moja kwa moja??
Rais wenu si kasema majizi yanaenda Chadema? neno fisadi lilishindwaje kukaa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…