Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana historia itasahau kuwa jumuia ya watanzania iliona na kusikia kauli ya Nyalandu kabla ya kuona na kusikia ya serikali. Hiyo historia itakuwa imeandikwa na kilaza wa vilaza. Hakuna wakati katika historia ambapo uongo uliwahi kushinda dhidi ya ukweli. Time will tell!Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;
Hata hivyo;
Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Historia inaendana na events,Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;
Hata hivyo;
Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Ukiingia chama hiki akili unakabidhi.Haya majamaa yana IQ ndogo sana, wamesahau km Polepole alihojiwa na majibu aliyotoa! Au polepole hakulijua hilo!
Mi binafsi hiyo barua ya binge hainisumbui kichwa na hata ya ccm isingenipa kiwewe! Kikao hicho cha kumfukuza Nyalandu kilikaa link na wapi? Maana, kilichokaa mara ya mwisho wengi wetu tulifikiri nape, bashe navwengieo wangebaraswa lakini wakaja na taarifa ya 'chama kiko imara'!Hahahaha hawa naona Albadir imewachanganya Akili, hata hivyo siamini kabisa kama hii barua imetoka kwenye mamlaka ya bunge
kwa hiyo anakiri hawakumfukuza bali alikimbia....!Hata Leo niliposikia kauli ya 'mtukufu' magogoni akisema majizi yanakimbilia chadema nikacheka mwenye na kujisemea, kumbe kweli ccm kuna majizi!
hahahaha.umeona eeeh.Yaani Bunge ndio linajifanya CCM..Kinachoshangaza zaidi, ni jinsi hiyo Barua kutoka kwa Bunge inavyosomeka. Bunge linaitetea CCM, litawahi kwa kasi hii kuandika barua kama hii kwa Chadema kweli?
Yaani kama vile Bunge na CCM ni taasisi moja, au tuseme wapenzi. Hata kabla CCM haijasema kitu basi Bunge limeshaelewa lugha ya mwili tu. Ha ha ha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona polepole hakusema siku ile kuwa wamemfukuza? Spika ndo msemaji wa ccm sasa hivi? Nchi ina raha hii....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni aibu kwa ofisi ya bunge na CCM kufanya vitu kama hivi. Mheshimiwa Nyalandu alitangaza rasmi kuhama CCM sasa inakuwaje tena hii barua ya kufukuzwa CCM. Kuhama CCM ni dhambi?View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Rais wenu si kasema majizi yanaenda Chadema? neno fisadi lilishindwaje kukaa hapo.Usikurupuke kijana, angalia katika hayo uliyohiglight kuna "Vitendo", meaning ufisadi included; sasa utakua umeelewa kilichoandikwa hapo. Au wewe ulitaka iandikwe ufisadi moja kwa moja??
Cheap politicsMAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA