BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Ni katika kujaribu kumdhalilisha tu.Ni aibu kwa ofisi ya bunge na CCM kufanya vitu kama hivi. Mheshimiwa Nyalandu alitangaza rasmi kuhama CCM sasa inakuwaje tena hii barua ya kufukuzwa CCM. Kuhama CCM ni dhambi?
Huko CCM ni mnara wa Babeli, na wote tunajua kilichotokea. Kama katibu mkuu anadai kufukuza mtu, wakati mwenezi hana taarifa, maana yake kila mtu na lwake.
Basi Kuna majizi mengi sana huko yatokako! Kuna msafi kweli huko?MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Msija mkakuta Nyalandu yupo kwenye mission.
Ulitaka wawe watangaza vikao Kukujulisha?Mi binafsi hiyo barua ya binge hainisumbui kichwa na hata ya ccm isingenipa kiwewe! Kikao hicho cha kumfukuza Nyalandu kilikaa link na wapi? Maana, kilichokaa mara ya mwisho wengi wetu tulifikiri nape, bashe navwengieo wangebaraswa lakini wakaja na taarifa ya 'chama kiko imara'!
Ccm wajue watanzania si 'wadanganyika' katika zama hizi za tehama!
Ulitaka wawe watangaza vikao Kukujulisha?
Haraka haraka hakuwa na taarifa kama ofisi ya bosi wake na ilishamjadili na imeshaandika barua ya kumfukuza uanachamaJuzi Polepole alisema "....kuhama kwa Nyalandu sio jambo geni.....ni afya ya siasa..." Polepole says Nyalandu is insignificant
...na kisha akasema tena "....namshangaa Nyalandu kuhama CCM chenye itikadi ya Ujamaa na kwenda CHADEMA kisicho na itikadi...."
Spika Ndugai anadhalilisha Bunge na kiti cha u-Spika, Ofisi ya Bunge imekuwa kama Tawi la Wakereketwa wa CCM Kizota. Wabunge mwajibisheni huyo ili msizidi kudhalilika.
Vikao vingine hua ni Siri mwambasi ndivyo wanavyofanyaga?
au wewe unafikiri kilikaa lini ?