atajitambuaje kama kuingia mjengoni alimdunda ntu live na ikawa pouwa. sasa kwanini asiwashwe washwe kutetea kiti chake!!Ubaya ni kwamba bila aibu Spika anakuwa PRO wa CCM.
Sijui hiyo kazi kapewa na ni yarabi?
Anapangiwa kazi Polepole siku hizi.
Boss wa Bunge jitambue basi linda kiti chako!!
Hata hivyo, Mhedhimiwa Spika amepokea barua toka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ya tarehe 30 Oktoba, 2017 akimuarifu kwamba kwa muda sasa Chama hicho kilishaanza kumchukulia hatua za kiudhibiti na kinidhamu dhidi ya vitendo na kauli zake zisizoridhisha kinyume na misingi, falsafa na itikadi ya Chama cha Mapinduzi.
Hivyo, Chama cha Mapinduzi kuanzia tarehe ya barua yao kimemjulisha Mheeshimiwa Spika kuwa Ndugu Lazaro Nyalandu amepoteza sifa za Uanachama wa Chama cha Mapinduzi, na hivyo kupoteza nafasi zote za uongozi wa ndani wa Chama hicho na Ubunge kwa mujibu wa Ibara ya 13 ya Chama hicho.
Mheshimiwa Spika, angependa kuwaarifu Watanzania kwamba kwa barua hiyo toka mamlaka halali ndani ya Chama cha Mapinduzi ambacho Ndugu Lazaro Nyalandu alipata Ubunge kupitia Chama hicho na kwa mujibu wa Ibara ya 71 (1)(f) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotamka kwamba:
“Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake cha Ubunge iwapo litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo: (f) Iwapo Mbunge ataacha kuwa Mwanachama cha chama alichokuwamo wakati alipochaguliwa au alipoteuliwa kuwa Mbunge.”
Hivyo, Ndugu Lazaro Nyalandu si Mbunge tena na hatua stahiki za kuiarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi zinaendelea kuchukuliwa.
Majizi hayo Yanatoka chama gani vilee?[emoji216] [emoji196] [emoji218] [emoji219] [emoji196] [emoji196]MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
Unaongelea katibu mkuu kinana au ni katibu mwenezi aka katibuMkuu [emoji196] [emoji61] polpole[emoji218]
jingalaoKinachowauma CCM ni wao kupokea madiwani wa CHADEMA kwa 2M,huku CHADEMA wakimpokea mbunge wa CCM buuure!
Unaonga housegelo wa jirani kwa laki moja,huku jirani yako "akimjua" mkeo buure!
Inauma sana!
Hizi ni siasa za kisanii na ni maelezo yayokanayo na maagizo toka nje ya mhimili....ama kweli wanazidi kujivua nguo hadhani.View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Hii hapa Barua ya Nyalandu aliyomuandikia Spika
View attachment 622471
Ungeandika hivi: If your brain stops to work, you better try to use your...If your brain stop to work try to use better your ass
Kwa kiingereza cha wapi BrE, AmE, NigE au wapi na wewe umejuaje kama kwa asili yangu nimekosea?Ungeandika hivi: If your brain stops to work, you better try to use your...
Lugha imekuja na meli hiiUngeandika hivi: If your brain stops to work, you better try to use your...
Basi Mkuu,nisamehe.Kwa kiingereza cha wapi BrE, AmE, NigE au wapi na wewe umejuaje kama kwa asili yangu nimekosea?
Hahahahahaaaaaaa!Lugha imekuja na meli hii
unashangaa kingereza?mbona kiswahili tu wengi ni shidaLugha imekuja na meli hii
......Albadiri haijawahi kumuacha mtu salama.Haya ni maajabu ya dunia....yaani spika ndo amekuwa msemaji wa chama?....barua ya kufukuzwa inatangazwa na spika shame..!!!
Chama ndo kilitakiwa kuutangazia uma kwamba wamemvua uanachama na kikao kilikaa lini...hii ni aibuuuu ptuuuu
Kweli.Kuna jamaa huwa wanaandika hivi: apa badala ya hapa, uyu badala ya huyu.Wananishangaza sana.unashangaa kingereza?mbona kiswahili tu wengi ni shida
Sisi husema ukistaajabu ya Musa …Kweli.Kuna jamaa huwa wanaandika hivi: apa badala ya hapa, uyu badala ya huyu.Wananishangaza sana.
Seeking for political asylum....he's not Gina escape the judgement cup Of his leadership.Hawa wameshanganyikiwa kabisa bora wangekaa kimya waulizeni hiyo barua kutoka kwa katibu mkuu ikimueleza spika kumvua Ubunge na kwa kikao kipi PolePole asiropoke wakati wa press yake juzi?
Akili ya kawaida nilitegemea kuona barua kutoka ofisi ya katibu mkuu CCM ikieleza kufukuzwa kwa Nyalandu ndipo ifuate ya Spika wamechemka
Picha Lazaro Nyalandu leo akiwa na Tundu Lissu hospital Nairobi leo.View attachment 621953