balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Rubbish thinking!! eti kuchukuliwa hatua wakati mpuuzi mmoja anayeitwa ****** alisema kuwa hajapata taarifa za Nyalandu! Taarifa hii ya chama cha majizi imekuja lini@?? na Polepole ni nani kwenye hicho chama aliye sema kuwa ametumia haki yake ya kidemokrasia kuachana na majizi na wauaji?View attachment 621961
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.
Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Legal drafting!1. Je,ni kweli ulikuwa ukidhibitiwa na kushughulikiwa kinidhamu ndani ya CCM kabla ya kujiuzulu na kuhama CCM?
2. Je,uliwahi kuarifiwa au hata kusikia kuwa umefukuzwa uanachama wa CCM kabla ya kutangaza kujiuzulu nafasi zote na kuhama CCM?
3. Barua yako kwa Spika uliyoiandika juzi uliituma Ofisi ya Spika kwa njia ipi na ilipokelewa lini huko? Una ushahidi gani?
4. Nini hasa kimekusukuma hadi kuachia nyadhifa zako na kuhama CCM?
5. Kisiasa,kuna tofauti gani na madhara gani kati ya kufukuzwa CCM na wewe kuhama katika kupoteza Ubunge wako?
6. Mchango gani utakaoutoa CHADEMA ambao uliutoa au haukuutoa ulipokuwa CCM?
Dah.... Sijui watakuja na hoja gani wapigakura tuwaelewe[emoji87] [emoji13]MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
.... Chadema mnatongozeka kirahisi sana!Hawa wameshanganyikiwa kabisa bora wangekaa kimya waulizeni hiyo barua kutoka kwa katibu mkuu ikimueleza spika kumvua Ubunge na kwa kikao kipi PolePole asiropoke wakati wa press yake juzi?
Akili ya kawaida nilitegemea kuona barua kutoka ofisi ya katibu mkuu CCM ikieleza kufukuzwa kwa Nyalandu ndipo ifuate ya Spika wamechemka
Picha Lazaro Nyalandu leo akiwa na Tundu Lissu hospital Nairobi leo.View attachment 621953
Spika hawezi kusema mbunge huyu halali au siyo halali mpaka ipate taarifa kutoka mamlaka husika. sasa kama wameshapata taarifa si ni lazima watoe taarifa kwa umma. Tatizo lenu aslimia 80 ya nyumbu humu ni darasa la saba sasa ni vigumu sana kwao kuelewa taratibu na kuchanganua mambo.Na yule Spika aliyekua anam ng'ang'ania Nyalandu kuwa bado anamtambua kuwa ni mbunge halali ni nani? Na je, Spika ndiye msemaji wa CCM siku hizi? Maana msemaji wa CCM tulimsikia akisikitika na mwenyekiti wao tukamsikia akipondea sasa huyu Soika ndiyw kaleta vituka vua kufungia mwaka.
Kuwa makini na kauli zakoKwani Tibaijuka na Chenge wapo Chadema?!
Na yule mmoja aliyeuza nyumba za serikali na kununua kivuko kibovu je?!
Vi.wonder, naona tunavijenga kwa kasi!Maajabu hayawezi kuisha Tanzania.
Floppy disk teh teh tehhebu yakurupusheni na mengine yaliyobaki huku...kina chenge,ngeleja,tibaijuka,mwakyembe,magu alieuza nyumba za serikali na kivuko kibovu +uwanja wa chato.Hebu yatimueni fasta fasta fastaaaa
kina kikwete kina mkapa..hebu yatimueni majizi haraka sana
hahahahahhaa...CCM akili zenu MB 8 kulaleki
Mnara wa Babeli,Rubbish thinking!! eti kuchukuliwa hatua wakati mpuuzi mmoja anayeitwa ****** alisema kuwa hajapata taarifa za Nyalandu! Taarifa hii ya chama cha majizi imekuja lini@?? na Polepole ni nani kwenye hicho chama aliye sema kuwa ametumia haki yake ya kidemokrasia kuachana na majizi na wauaji?
msijali mtazalisha majizi wengne weng si ndo kawaida yenuMAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA