Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Atakoma kuwa mbunge ikiwa litatokea lolote kati ya yafuatayo ,halafu unaandika jambo moja tu ni kukurupuka.Ukitaja au kuandika mosi,au moja lazima kuwe na pili au mbili ingawa siyo lazima kuwe na tatu,nne,nk,,,
 
Ha ha haaaaaaa
Hii kali
Duh
Awamu hii sio ya mchezo mchezo.. kumbe ametemwa ha ha haaaaaaaaaa
 
Kwa jinsi ninavyomuona katibu mkuu Kinana sidhani hiyo barua kama kaandika yeye nadhani atakuwa kaandikiwa ikapelekwa kwenye ofisi ya spika cha msingi imetoka ofisi ya katibu mkuu basi ....Kinana hawezi kuandika hiyo barua coz anajua fika [emoji817]% alichosema Nyalandu ndani yake kinaukweli ndio maana hata yeye ofisi anaikimbia muda mwingi anashinda misikitini ......chama ni kama kimepoteza mwelekeo.
 
View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..
Rubbish thinking!! eti kuchukuliwa hatua wakati mpuuzi mmoja anayeitwa ****** alisema kuwa hajapata taarifa za Nyalandu! Taarifa hii ya chama cha majizi imekuja lini@?? na Polepole ni nani kwenye hicho chama aliye sema kuwa ametumia haki yake ya kidemokrasia kuachana na majizi na wauaji?
 
1. Je,ni kweli ulikuwa ukidhibitiwa na kushughulikiwa kinidhamu ndani ya CCM kabla ya kujiuzulu na kuhama CCM?

2. Je,uliwahi kuarifiwa au hata kusikia kuwa umefukuzwa uanachama wa CCM kabla ya kutangaza kujiuzulu nafasi zote na kuhama CCM?

3. Barua yako kwa Spika uliyoiandika juzi uliituma Ofisi ya Spika kwa njia ipi na ilipokelewa lini huko? Una ushahidi gani?

4. Nini hasa kimekusukuma hadi kuachia nyadhifa zako na kuhama CCM?

5. Kisiasa,kuna tofauti gani na madhara gani kati ya kufukuzwa CCM na wewe kuhama katika kupoteza Ubunge wako?

6. Mchango gani utakaoutoa CHADEMA ambao uliutoa au haukuutoa ulipokuwa CCM?
Legal drafting!
 
Hawa wameshanganyikiwa kabisa bora wangekaa kimya waulizeni hiyo barua kutoka kwa katibu mkuu ikimueleza spika kumvua Ubunge na kwa kikao kipi PolePole asiropoke wakati wa press yake juzi?
Akili ya kawaida nilitegemea kuona barua kutoka ofisi ya katibu mkuu CCM ikieleza kufukuzwa kwa Nyalandu ndipo ifuate ya Spika wamechemka
Picha Lazaro Nyalandu leo akiwa na Tundu Lissu hospital Nairobi leo.View attachment 621953
.... Chadema mnatongozeka kirahisi sana!
 
Sijui ni mpaka lini CCM watakuwa wakweli? hivi wanafikiri watanzania hawa wa leo bado ni wadanganyika?
 
Na yule Spika aliyekua anam ng'ang'ania Nyalandu kuwa bado anamtambua kuwa ni mbunge halali ni nani? Na je, Spika ndiye msemaji wa CCM siku hizi? Maana msemaji wa CCM tulimsikia akisikitika na mwenyekiti wao tukamsikia akipondea sasa huyu Soika ndiyw kaleta vituka vua kufungia mwaka.
Spika hawezi kusema mbunge huyu halali au siyo halali mpaka ipate taarifa kutoka mamlaka husika. sasa kama wameshapata taarifa si ni lazima watoe taarifa kwa umma. Tatizo lenu aslimia 80 ya nyumbu humu ni darasa la saba sasa ni vigumu sana kwao kuelewa taratibu na kuchanganua mambo.
 
hebu yakurupusheni na mengine yaliyobaki huku...kina chenge,ngeleja,tibaijuka,mwakyembe,magu alieuza nyumba za serikali na kivuko kibovu +uwanja wa chato.Hebu yatimueni fasta fasta fastaaaa
kina kikwete kina mkapa..hebu yatimueni majizi haraka sana

hahahahahhaa...CCM akili zenu MB 8 kulaleki
Floppy disk teh teh teh
 
Rubbish thinking!! eti kuchukuliwa hatua wakati mpuuzi mmoja anayeitwa ****** alisema kuwa hajapata taarifa za Nyalandu! Taarifa hii ya chama cha majizi imekuja lini@?? na Polepole ni nani kwenye hicho chama aliye sema kuwa ametumia haki yake ya kidemokrasia kuachana na majizi na wauaji?
Mnara wa Babeli,
Kila Mmoja na Lugha yake
 
Back
Top Bottom