Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

Wanamaanisha eti Kinana aliandika Barua (Kwa siri) bila ya Polepole kujua
 
Iyo inaitwa kun faya kun,kwa maana hiyo amepoteza haki zake zote au?
 
Nimecheka sana, mambo kama haya yangeandika miaka 30 iliyopita yangeaminika ila sasa utandawazi umeleta changamoto na ni ngumu kuweka propaganda.
 
Huu uzushi sasa, CCM hua haifukuzi wanachama wake bila vikao. Na pia katibu Mwenezi juzi angesema kama hili ni kweli
 
Duuu! Hii ni aibu ya mwaka.Mambo haya ilipaswa aelezwe mtoto wa chekechea au mtu mzima ambaye amelazwa hospitali kwa matatizo ya akili.Kwa mini spika alisema hajapata barua yakujiudhuru?

Je nikwanini kiongozi alisema majizi yote yanakimbilia chadema?Kama angekuwa amefukuzwa basi ni dhahiri kwamba kauli ya majizi yanakimbilia chadema isingekuwepo,pia ni kwanini bunge limepata barua ya ccm juu ya kufukuzwa kwa NY.baada ya NY.

Kutangaza kujiudhuru nafasi zote?Kwa namna wanavyopenda kiki ingetangazwa mapema mno.Hivi kikao chakumfukuza kilifanyika lini?Haya mambo yangefanywa miaka ya sitini ingekuwa sawa,lakini kwa hiki kizazi chakutumia critical thinking aaa inakuwa ni aibu.Logic ni kitu muhimu sana.
 
Ila nyalandu hana akili aisee,kwa kukosa uwaziri ni kilema au??ivi ni kabila gani kwanza??
 
Huu uzushi sasa, CCM hua haifukuzi wanachama wake bila vikao. Na pia katibu Mwenezi juzi angesema kama hili ni kweli
Mkuu unataka kutuambia Bunge nalo limeshiriki kubariki urongo?
 
MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
msijisahau miezi mitatu ngoma inarudiwa na huyo JIZI mdogo ndo atasimama tena kutetea.
ntakukumbusha atakavyowagalagaza.. msikimbilie bunfuki mana hamchelewi kupandikiza.
 
Naona ligi ya Polepole vs Bwana fimbo vs kigaigai sijui kigae gae lakini mbona CCM wagumu hivyo kama kenge jamani
 
Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;

Hata hivyo;

Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
Mzee muhusika mlimuandika barua ya kumfukuza au ndo ilikua njiani hata spika nae kashindwa mtonya hata kwa text kua umetemwa mpk kachomoka mwenyewe ccm wanapenda siri kwenye kila jambo ahahaha nyalandu alikua mbunge hewa ahahaha dah kuna shida bongo
 
Chezea kudata wewe...
 
Ila hawa viongozi wengine wanafanya mambo ambayo wanadhani wanasaidia na kuokoa jahazi, kumbe ndio wanalizamisha kabisa kwa mikono yao wenyewe. Hivi kweli hawana mshauri?

Kwa hii barua hata mtoto wa chekechea anaona kabisa kuwe hapa wamechemka, sembuse watu wazima na akili zao kichwani. ni afadhali wenge "mute" tu, maana hapa wemeharibu ile mbaya. hapa wemeharibu kwakweli na wao ndio wanachangia kumfanya mkulu aonekane ndivi sivyo na wananchi, wao wakidhani wanamsaidia kumbe wanamharibia kabisa.

Ni hayo tu, kama wanashaurika ni afadhali wakakubali kusikiliza ushauri. Mnaharibuu "in peNa's voice"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…