Bunge lasitisha Shughuli zake ili kujadili bei ndogo ya Mahindi nchini

umenichekesha wewe. jaribu kuomba kibali cha kufanya biashara ya mazao nje ya nchi. ndio utajua urasimu ni nini?. utatembea wewe kutafuta vibali mpaka mahindi yatakutana na ya mavuno ya mwakani hujapata kibali
We Mzee uziwa Mali za kijerumani umemwachia nani?
 
Kwani soko la Zimbabwe imekuwaje?

Mwakani mvua ni chache kutakuwa na mavuno machache, serikali inunue mahindi yote na kuyahifadhi.
Hapa umetatuaje tatizo la bei ndogo kwa wakulima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…