Bunge leteni sheria hii kupunguza michepuko

DON SINYORI

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
511
Reaction score
417
Kule pakistan,kuna kabila moja ambapo utamaduni wake ni kwamba ukitaka kuoa mke wa pili sharti ujaribiwe kama unaweza ku''handle'' wake wawili.
zoezi litolewalo ni kubeba jiwe kama hilo lenye kilo takribani 40 kwa lisaa limoja. ukifaulu basi unaruhusiwa kuongeza mke


nlikuwa namwomba bunge lipitishe hyo sheria ku''legalize'' michepuko hapa bongo.au mnaonaje jamani??
hahahhaha vijana wengi watakuwa mabaunsa asee

jamani natania tu am not serious
 

mi naweza beba ghorofa yoyote toka dar had mtwara
 

mi naweza beba ghorofa yoyote toka dar had mtwara
 
Vipi mkuu baada ya hapo wakikagua hawakuti nnya kweli!!!!ikichungulia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…