DON SINYORI
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 511
- 417
Kule pakistan,kuna kabila moja ambapo utamaduni wake ni kwamba ukitaka kuoa mke wa pili sharti ujaribiwe kama unaweza ku''handle'' wake wawili.
zoezi litolewalo ni kubeba jiwe kama hilo lenye kilo takribani 40 kwa lisaa limoja. ukifaulu basi unaruhusiwa kuongeza mke
nlikuwa namwomba bunge lipitishe hyo sheria ku''legalize'' michepuko hapa bongo.au mnaonaje jamani??
hahahhaha vijana wengi watakuwa mabaunsa asee
jamani natania tu am not serious