Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Jamaa anajifanya kujitoa ufahamu wakati kila kitu Kiko wazi.Wewe Pascal umesahau ulivyoambiwa kuna muhimili umechimbiwa chini zaidi?
Naunga mkono hoja mkuu.Wanabodi
Makala yangu gazeti la Mwananchi
View attachment 3140355
Wiki iliyopita kwenye safu hii nilimpongeza Spika Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge ya Dunia, IPU kwa kuwakoromea maspika wenzake wa nchi za mabeberu, nikasema tunamuomba aliendeshe Bunge letu liisimamie serikali kikamiifu.
Makala ya leo ni swali kuhusu Bunge, Bunge ndicho chombo kikuu cha uwakilishi wa wananchi, Bunge likisema ni wamanchi wamesema, na kazi kuu ya Bunge ni kutunga sheria na kuisimamamia serikali, hakuna ubishi kuwa "Bunge letu ni Bunge Kibri na Jeuri, kwenye kazi yake kuu ya kutunga sheria Bunge letu ni Bunge kweli la kutunga sheria au ni Bunge Ruber Stemp ya Serikali?, Kwanini linaogopwa hivi na Mhimili wa Mahakama?.
Bunge letu linatoa wapi hii kibri hiki na jeuri hii sio tuu ya kuidharau mahakama, kwa kutotekeleza amri za mahakama tuu, bali hata ukifungua shauri lolote mahakamani, linalohusu Bunge, ujijue ni unajipotezea tuu muda wako bure, mhimili wa Mahakama unaliogopa sana Bunge kuliko hata unavyo muogopa Mungu!.
Msingi wa maswali yangu haya ni kuendelea kuwaelimisha kuhusu katiba, sheria na haki, kwa dhima ya mtunga katiba alidhamiria nini?.
Je sasa ni wakati sisi wapenda haki, kulishinikiza Bunge letu litimize wajibu wake kikamilifu kama Bunge, ikiwemo kuisimamia serikali kikamilifu na Bunge sasa ndio litunge Sheria na sio Bunge kutumika kama rubber stamp ya miswada ya serikali?.
Sii mara moja wala mbili Bunge, mnasikia Mahakama imebatilisha sheria fulani kwa kwenda kinyume na Katiba. Hiyo maana yake ni Bunge limetunga sheria batili. Kwa vile kuna kanuni ya mihimili kuheshimiana, Mahakama inabatilisha tuu sheria batili bila kuliuliza Bunge linatungaje sheria batili, huku limeshehenezwa na wanasheria wabobezi na wabebovu?.
Sababu Bunge letu kutunga sheria batili, ni moja tuu, Bunge halitungi sheria, bali linatumika tuu kama rubber stempu kuipitisha miswada ya sheria inayotungwa na serikali, hivyo anayetunga miswada batili ni serikali yetu tukufu!. Kutokana na kule kule kuheshimiana kwa mihimili, serikali inatunga muswada wa sheria batili, Bunge linapitisha na kuitunga sheria batili, na rais wetu analetewa sheria batili na kuzisaini kuanza kutumika!.
Kubwa kuliko ni sheria ya uchaguzi iliyopita ilikuwa ni sheria batili, kwa kwenda kinyume cha katiba. Mahakama Kuu ikaibatilisha, serikali ikakata rufaa kupinga kubatilishwa huko, ikashindwa, ikapeleke Bungeni, mabadiliko batili ya katiba, na kuichomekea kiubatili kipengele batili, ndani ya katiba yetu, ili kuihalalisha ile sheria batili kuwa ni sheria halali, kwasababu sasa iko ndani ya Katiba!.
Mahakama Kuu ikaigomea serikali kwa kushikilia msimamo kuwa sheria ya uchaguzi ni batili, na mabadiliko ya katiba, yaliyofanywa na Bunge, kuichomekea batili hiyo ndani ya katiba, pia ni batili!. Kitendo cha kuichomekea batili ndani ya katiba yetu, na sawa na kuinajisi katiba!.
Serikali ikakata rufaa Mahakama ya Rufaa, na kesi kusikilizwa na majaji watu, kisheria inaitwa (half bench), ikaunga mkono uamuzi wa mahakama kuu kuwa sheria ya uchaguzi ni batili, na mabadiliko ya katiba yaliyofanywa kuichomekea batili hiyo ndani ya katiba ni batili. Ndipo serikali ikaomba kufanya mapitio, Mahakama ya Rufaa, ikakaa na majaji 7, (Full Bench) chini ya Jaji Mkuu mwenyewe wa wakati huo. Tena Mahakama ya Rufaa, haikukaa peke yake, ikawaita mabingwa watatu wa sheria kuwa marafiki ya mahakama (amicus curiae).
Mahakama ya Rufaa, ikatoa uamuzi wa ajabu kabisa kutolewa na mahakama za Tanzania kwa kusema “The court is not the custodians of the will of the people! But the perliament” kumaanisha mhimili wa Mahakama sio mlinzi wa matakwa ya watu, huo ni wajibu wa Bunge”.
Huku ni kuligwaya Bunge!. Yaani Bunge litunge sheria batili kinyume cha katiba, kisha lifanye mabadiliko batili ya katiba, kisha liuchomekee kipengele batili ndani katiba yetu ili kuihalalisha ile sheria batili kuwa ni sheria halali kwasababu sasa ubatili huo umechomekewa ndani ya katiba yetu!.
Badala ya Mahakama ya Rufaa kuangalia ubatili wa katiba na ubatili wa sheria uliofanywa na Bunge, mahakama ikiwa ndio mamlaka pekee ya kutafsiri sheria, yenyewe iliangalia uwezo wa Mahakama Kuu kuliamuru Bunge, likarekebishe katiba kuuondoa huo ubatili na kuibadili sheria ya uchaguzi. Mahakama ya Rufaa, ikalirudisha hili suala Bungeni, nalo Bunge lilivyo jeuri na kiburi, limeidharau Mahakama ya Rufaa, halijafanya kitu mpaka leo.
Kwenye hili nashauri Mahakama zetu zianze kutoa SMART judgments.
Kufuatia Mahakama kuligwaya Bunge, mpaka hapa ninapoandika leo, ule ubatili uliochomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu bado upo, sheria mpya ya uchaguzi iliyotungwa mwaka huu, umekitumia kipengele hicho batili, hivyo tumetungiwa sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule, ulikwisha batilishwa na Mahakama. Bunge letu linapata wapi kiburi hiki?.
Mihimili Mitatu
Tumerithi utaratibu wa uendeshaji wa nchi kupitia mihimili mitatu ya Serikali, Bunge, na Mahakama toka kwa Waingereza. Utaratubu huu una kanuni zake. Sisi tumeiga uendeshaji tuu lakini hatufuati kanuni zake.
Mhimili hii inaongozwa na wakuu wa mihimili, Serikali ikiongozwa na Rais, Bunge likiongozwa na Spika, na Mahakama ikiongozwa na Jaji Mkuu.
Kila mhimili una kazi zake, majukumu yake, mamlaka yake, madaraka yake, na mipaka yake, ambayo haipaswi kuingiliana. Kwa mujibu wa muundo wa mihimili hii kinadharia, mihimili hii inapaswa kuwa sawa, (equal), hakuna mhimili mkubwa wala mhimili mdogo, yote ina haki sawa.
Jee ni kweli mihimili yote mitatu iko sawa au kuna mhimili uliojichimbia chini zaidi?.
Tukutane wiki ijayo kwa sehemu ya pili ya mada hii.
Paskali
Kule data huwa hazizimiki, Tanzania internet huwa inasumbua naskia husaidia wanasiasa kufikiri vizuri.Wanabodi

Na hata kama Ndugai angekataa kujiuzulu angefukuzwa uanachama wa CCM na ndiyo angekuwa amepoteza uspika na ubunge!Paschal unapoteza muda wako tu!!
Toka nilivyoona Ndungai kalazimishwa kujiuzulu kisa tu Bibi hamtaki ndio nilijuwa kabisa bungeni hakuna kinachoendelea tunapoteza pesa tu!!
Rais na sipika kwa wenzetu kupishana ni kawaida
R.I.P Samwel Sitta!!
Ameandika abstract.Jamaa anajifanya kujitoa ufahamu wakati kila kitu Kiko wazi.
JF ni user generated forum inayoheshimu freedom of expression, ukiona mtu amepotosha kitu, dawa sio kususa au kuzira, watu wataendelea kupotoshwa, dawa ni kumweleza mpotoshaji amepotosha wapi na wewe kusawazisha hicho kilichopotoshwa.Nimeacha kusoma nakala zako kwa kuwa kuna upotoshaji mwingi mno.
Ni kweli mimi sio mtafiti hivyo sifanyi utafiti wowote, ninachofanya ni kusoma tuu katiba, kuleta kilichoandikwa na mtunga katiba na kukuwekea tafsiri yangu.Unaandika bila kufanya utafiti
Ni kweli kuna maeneo natumia intuition, hii ni sauti ya kwake YEYE aliye ndani yangu, hivyo most intuitionsunatumia intuition na ni hatari kwa wasomaji
Bila shaka mpumbavu mkubwa ni wewe! Mara zote Chadema wamekuwa wakisisitiza turudi kwenye mchakato wa kutengeneza Katiba mpya kuanzia rasimu ya Warioba na siyo uharo uliochakachuliwa na CCM wa Bunge la Katiba!JPM alishasema kuna mhimili mmoja umechimbiwa chini zaidi ila mkadharau. Pia mbunge wa darasa la 7 kama Shigongo anaweza kutunga sheria gani? Mtu kama Babutale anaweza kusoma muswada ulioandikwa kwa kiingereza? Kwenye katiba mpya tusiruhusu tena vilaza kuingia bungeni. Pia Spika asiwe na chama wala mbunge. Kikatiba Spika kung'olewa ni sekunde 2 tu endapo atavuliwa uanachama wa chama chake. Hivi ndo vitu vya kuongelea kwenye kudai katiba mpya ila CHADEMA kwa upumbavu wa hali ya juu wanang'ang'ania serikali 3 kama vile ndo tatizo kuu la kikatiba. Pumbavu sana.
Mungu atakuadhibu kwa kushindwa kutumia vizuri akili alizokupa bure. Unaongelea hii rasimu takataka ya Warioba yenye kasoro kibao? CHADEMA walichoongea si kuweka wagombea wawili kila jimbo la uchaguzi ili kubalance ishu za jinsia? CHADEMA wanataka katiba mpya ila mambo wanayoyataka ni ushuzi mtupu.Bila shaka mpumbavu mkubwa ni wewe! Mara zote Chadema wamekuwa wakisisitiza turudi kwenye mchakato wa kutengeneza Katiba mpya kuanzia rasimu ya Warioba na siyo uharo uliochakachuliwa na CCM wa Bunge la Katiba!
Naunga mkono hoja Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?Pia Spika asiwe na chama wala mbunge. Kikatiba Spika kung'olewa ni sekunde 2 tu endapo atavuliwa uanachama wa chama chake.
Huna haja kuwatukanaHivi ndo vitu vya kuongelea kwenye kudai katiba mpya ila CHADEMA kwa upumbavu wa hali ya juu wanang'ang'ania serikali 3 kama vile ndo tatizo kuu la kikatiba. Pumbavu sana.
Ninaahidi kutowatukana tena hadi pale kutakapotokea ulazima wa kufanya hivyo.Naunga mkono hoja Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?
Huna haja kuwatukana
P
Ungekuwa na akili usingebinua hilo domo lako! Unaelewa maana ya mchakato? Kama rasimu ya Warioba ni takataka si ndiyo hiyo ilitumika kuweka uharo wa CCM! Kwa nini CCM hawataki mjadala huru na wa kidemokrasia. Uchawa wa kipumbavu usinajisi ubongo wako uwe kama nguruwe 🐖 anayekula watoto wake!Mungu atakuadhibu kwa kushindwa kutumia vizuri akili alizokupa bure. Unaongelea hii rasimu takataka ya Warioba yenye kasoro kibao? CHADEMA walichoongea si kuweka wagombea wawili kila jimbo la uchaguzi ili kubalance ishu za jinsia? CHADEMA wanataka katiba mpya ila mambo wanayoyataka ni ushuzi mtupu.
Asante sana, heshima ni kitu cha bure, heshimu wote.Ninaahidi kutowatukana tena hadi pale kutakapotokea ulazima wa kufanya hivyo.
Hiki ndicho ninachokifanya humu kuelimisha kuhusu ukuu wa katiba.BUNGE NDIO LINATUNGA SHERIA IWEJE UIITE BATILI??
BUNGE LINA HAKI YA KUTUNGA SHERIA HATA KAMA NI BATILI
Sii kweli kuwa kila kitu kinaendeshwa kihuni. Katiba ndio ilibadilishwa kihuni, kuchomekea ubatili fulani ndani ya katiba. Vitu vingine vingi tuu viko sawa.kila kitu hapo jamhuri ya kihuni ni ubatili mtupu. taifa linaendeshwa kama familia. ni taifa la kipuuzi kwenye kila jambo
Nakubaliana na hii hoja....Kwa Tanzania Tuna muhimili Mmoja tu ambao ni Excutive na Muhimili huo ndo unatoa Maagizo kwa Mihimili mingine..hiyo inatokana na Kutokuwa na Msisitizo w Katiba yetu..