Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Huna huruma kabisa zile dola M500 tu zimeleta mtafaruku Spika anataka kutoa watu roho, hii ban ndo watampigia magoti beberuTanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?.
Bunge letu naliomba litoe tamko kukemea kabisa ili iwe funzo kwa mataifa mengine.
Thubutuuu!!!.huo ubavu wa kuijadili USA bungeni mnautoa wapi??
Nyie wasubirini akina zitto mwajadili hawa ndiyo size yenu
Tanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?.
Bunge letu naliomba litoe tamko kukemea kabisa ili iwe funzo kwa mataifa mengine.