kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Sasa mtu kama babu Tale naye eti ni mbunge!Umaarufu, kujuana kwingi kunalipoteza hili Taifa. Asilimia kubwa ya wanaoitwa wabunge hawakustahili kuwa wabunge na hapo ndipo chanzo kikuu cha matatizo yanayolikumba hili Taifa.
Huwa nashangaa na kukosa majibu!Hivi watu kama kabudi,na wanasheria wengine waliomo bungeni hakuona udhaifu na ubovu wa mkataba huu?kwanini hatukuwasikia wakitumia elimu Yao kusema kile ambacho kilipaswa kuwemo kwenye mkataba?Ni aibu sana watu genuine na wenye heshima kama charles kimei kuwa kwenye bunge la wapumbavu kama hilo.
Tatizo la.msingi ni hiliHuwa nashangaa na kukosa majibu!Hivi watu kama kabudi,na wanasheria wengine waliomo bungeni hakuona udhaifu na ubovu wa mkataba huu?kwanini hatukuwasikia wakitumia elimu Yao kusema kile ambacho kilipaswa kuwemo kwenye mkataba?
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji.
Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze Kuita Watu Kwenye Kamati, au Waachwe Tuu?.
Maswali haya ni kufuatia mkutano wa jana na waandishi wa habari Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Baada ya kuzisoma hizo hoja, kabla sijaandika, nikatafuta kwanza clips ili kujiridhisha ni kweli maneno haya ameyamtaka kweli?, maana fani ya uandishi wa habari siku hizi imevamiwa, kuna waandishi wa habari wa kila aina kuanzia comedians, wasanii, na waandishi wengine wa hovyo sana, usipokuwa makini, sometimes waandishi hawa wa habari wa hovyo hovyo, hawachelewi kukulisha maneno!, hivyo nikamsikiliza mwanzo mwishona kujirishisha kuwa ni kweli maneno hayo ameyasema, na sio tuu ameyasema, bali pia ameyaandika kwanza kisha akaja kutusomea sisi waandishi wa habari.
Kabla sijaendelea, naomba kuwakuwakumbusha wasomaji wangu, tujifunze kutofautisha definite statements na maswali. Hakuna statement kwenye bandiko hili, ni bandiko la swali!. Natoa angalizo hili kwasababu mimi mwenzenu nimeisha wahi kuitwa all the way from Dar to Dodoma, kufika kule nikaulizwa kwanini umetoa hii statement?, Nikajibu hiyo sio statement ni swali!. Hivyo hapa nasisitiza hili ni bandiko la swali sio bandiko la statement!.
Dr. Slaa ameliita Bunge Letu ni Bunge la Hovyo, na kilichofanyika kuridhia IGA ni uhuni?, ndio maana nauliza waungwana humu, hiki alichokisema Dr. Slaa kinaukweli kuhusu Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Kilichofanywa na Bunge letu kuridhia IGA ya DPW ni uhuni?. Wanaofanya uhuni ni wahuni, jee Wabunge wetu ni Wahuni?.
Bunge letu Tukufu haliwezi kudhalilishwa hivi tukanyama!, jee tumshauri Madam Spika aanze ule utaratibu kama wa mtangulizi wake kuita watu kwenye Kamati, watu wowote watakao toa kauli za kulidhalilisha Bunge, au waachwe tuu kwasababu wanatoa maoni yao kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba kuhusu uhuru wa kutoa maoni?.
Nashauri Daktari aitwe mbele ya Kamati!. Mimi nilipouliza tuu , hili swali Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? niliitwa Bungeni kuhojiwa na kamati!, sasa leo Bunge linaitwa la hovyo!, na kilichofanyika ni uhuni!, mtu huyu hawezi kuachwa hivi hivi tuu au aitwe mbele ya kamati kuthibitisha kauli yake?.
Na ikitokea asipoitwa, jee hii haitaaminisha alichosema ni kweli?, ndio maana nawauliza waungwana humu, jee ni kweli Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Jee ni kweli kilichofanyika kwa Bunge kuridhia hii IGA ya serikali yetu na Mwarabu wa Dubai ni uhuni?. Mtu anayefanya uhuni ni muhuni, jee waheshimiwa wabunge wetu ni wahuni?.
Paskali
Pasco anayaweza,alimkaanga Kabendera hadi akabananishwa,chezea Pasco weye !!!kwaiyo umekuja kumchongea mwenzako kwa spika
Nafikiri Pascal Mayala anamaanisha kwamba Mhusika asipoitwa basi wakati ule yeye alionewa.Mzee unaogopa kuitwa tena kwenda kujieleza? Hivi unataka kusema Tanzania tuna bunge la wananchi kweli? Walichaguliwa na wananchi gani?
Maana kilichotokea 2020 hata mtoto mdogo anajua kilikuwa ni kitendo cha kihuni. Hivyo hata hao walioko ndani ya yale majengo, watakuwa ni wahuni tu.
Spika ndiyo muhuni kuliko hata hao wabunge wenyeweWanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji.
Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze Kuita Watu Kwenye Kamati, au Waachwe Tuu?.
Maswali haya ni kufuatia mkutano wa jana na waandishi wa habari Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Baada ya kuzisoma hizo hoja, kabla sijaandika, nikatafuta kwanza clips ili kujiridhisha ni kweli maneno haya ameyamtaka kweli?, maana fani ya uandishi wa habari siku hizi imevamiwa, kuna waandishi wa habari wa kila aina kuanzia comedians, wasanii, na waandishi wengine wa hovyo sana, usipokuwa makini, sometimes waandishi hawa wa habari wa hovyo hovyo, hawachelewi kukulisha maneno!, hivyo nikamsikiliza mwanzo mwishona kujirishisha kuwa ni kweli maneno hayo ameyasema, na sio tuu ameyasema, bali pia ameyaandika kwanza kisha akaja kutusomea sisi waandishi wa habari.
Kabla sijaendelea, naomba kuwakuwakumbusha wasomaji wangu, tujifunze kutofautisha definite statements na maswali. Hakuna statement kwenye bandiko hili, ni bandiko la swali!. Natoa angalizo hili kwasababu mimi mwenzenu nimeisha wahi kuitwa all the way from Dar to Dodoma, kufika kule nikaulizwa kwanini umetoa hii statement?, Nikajibu hiyo sio statement ni swali!. Hivyo hapa nasisitiza hili ni bandiko la swali sio bandiko la statement!.
Dr. Slaa ameliita Bunge Letu ni Bunge la Hovyo, na kilichofanyika kuridhia IGA ni uhuni?, ndio maana nauliza waungwana humu, hiki alichokisema Dr. Slaa kinaukweli kuhusu Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Kilichofanywa na Bunge letu kuridhia IGA ya DPW ni uhuni?. Wanaofanya uhuni ni wahuni, jee Wabunge wetu ni Wahuni?.
Bunge letu Tukufu haliwezi kudhalilishwa hivi tukanyama!, jee tumshauri Madam Spika aanze ule utaratibu kama wa mtangulizi wake kuita watu kwenye Kamati, watu wowote watakao toa kauli za kulidhalilisha Bunge, au waachwe tuu kwasababu wanatoa maoni yao kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba kuhusu uhuru wa kutoa maoni?.
Nashauri Daktari aitwe mbele ya Kamati!. Mimi nilipouliza tuu , hili swali Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? niliitwa Bungeni kuhojiwa na kamati!, sasa leo Bunge linaitwa la hovyo!, na kilichofanyika ni uhuni!, mtu huyu hawezi kuachwa hivi hivi tuu au aitwe mbele ya kamati kuthibitisha kauli yake?.
Na ikitokea asipoitwa, jee hii haitaaminisha alichosema ni kweli?, ndio maana nawauliza waungwana humu, jee ni kweli Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Jee ni kweli kilichofanyika kwa Bunge kuridhia hii IGA ya serikali yetu na Mwarabu wa Dubai ni uhuni?. Mtu anayefanya uhuni ni muhuni, jee waheshimiwa wabunge wetu ni wahuni?.
Paskali
Ninaamini Bunge na wabunge makini hawawezi kukubali kwenda kujadili jambo ambalo nao wamelisikia narudia wamelisikia chini ya saa 48, wengi walikwenda kujibu mapigo huku wakiamini Tanzania ni mali ya wanaccm na wasio wanaccm hawana haki kuongea lolote linalohusu uendeshaji wa nchi na ndio hao wanaolaumu uwepo wa muafaka.Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji.
Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze Kuita Watu Kwenye Kamati, au Waachwe Tuu?.
Maswali haya ni kufuatia mkutano wa jana na waandishi wa habari Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Baada ya kuzisoma hizo hoja, kabla sijaandika, nikatafuta kwanza clips ili kujiridhisha ni kweli maneno haya ameyamtaka kweli?, maana fani ya uandishi wa habari siku hizi imevamiwa, kuna waandishi wa habari wa kila aina kuanzia comedians, wasanii, na waandishi wengine wa hovyo sana, usipokuwa makini, sometimes waandishi hawa wa habari wa hovyo hovyo, hawachelewi kukulisha maneno!, hivyo nikamsikiliza mwanzo mwisho na kujirishisha kuwa ni kweli maneno hayo ameyasema, na sio tuu ameyasema, bali pia ameyaandika kwanza kisha akaja kutusomea sisi waandishi wa habari.
Kabla sijaendelea, naomba kuwakuwakumbusha wasomaji wangu, tujifunze kutofautisha definite statements na maswali. Hakuna statement kwenye bandiko hili, ni bandiko la swali! Natoa angalizo hili kwasababu mimi mwenzenu nimeisha wahi kuitwa all the way from Dar to Dodoma, kufika kule nikaulizwa kwanini umetoa hii statement? Nikajibu hiyo sio statement ni swali! Hivyo hapa nasisitiza hili ni bandiko la swali sio bandiko la statement!
Dr. Slaa ameliita Bunge Letu ni Bunge la Hovyo, na kilichofanyika kuridhia IGA ni uhuni? Ndio maana nauliza waungwana humu, hiki alichokisema Dr. Slaa kinaukweli kuhusu Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Kilichofanywa na Bunge letu kuridhia IGA ya DPW ni uhuni?. Wanaofanya uhuni ni wahuni, jee Wabunge wetu ni Wahuni?.
Bunge letu Tukufu haliwezi kudhalilishwa hivi tukanyama! Je, tumshauri Madam Spika aanze ule utaratibu kama wa mtangulizi wake kuita watu kwenye Kamati, watu wowote watakao toa kauli za kulidhalilisha Bunge, au waachwe tuu kwasababu wanatoa maoni yao kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba kuhusu uhuru wa kutoa maoni?
Nashauri Daktari aitwe mbele ya Kamati!. Mimi nilipouliza tu, hili swali Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? niliitwa Bungeni kuhojiwa na kamati!, sasa leo Bunge linaitwa la hovyo! na kilichofanyika ni uhuni!, mtu huyu hawezi kuachwa hivi hivi tuu au aitwe mbele ya kamati kuthibitisha kauli yake?
Na ikitokea asipoitwa, jee hii haitaaminisha alichosema ni kweli?, ndio maana nawauliza waungwana humu, jee ni kweli Bunge letu ni Bunge la hovyo? Jee ni kweli kilichofanyika kwa Bunge kuridhia hii IGA ya serikali yetu na Mwarabu wa Dubai ni uhuni? Mtu anayefanya uhuni ni muhuni, jee waheshimiwa wabunge wetu ni wahuni?
Paskali
Kompyuta ikiwa mpya husifiwa kwa ufanisi wake na kila saa hufutwa vumbi, muda si muda kompyuta hiyo hutupwa baada ya kuonekana ufanisi wake umepungua, Wassira amepungua kwenye uwezo wake wa kufikiri kutokana na umri wake, apumzike kama walivyofanya aliowinda nao ndege huko kwenye mapori ya Mwitongo.Wasira, ni Mwenyekiti wa Board hana mshahara. Uzoefu wake ni mkubwa kutoa ushauri
Pili, lini Wasira au Bulembo wame post au kutoa taarifa za kujipendekeza hata kama ni za uongo toka Samia awe Rais?
Nami nasubiri jibu lake.Jee wewe Paskali unasemaje kuhusu wabunge hawa ni wahuni au siyo wahuni? Jibu tafadhali Mami
TkuulizeWanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji.
Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze Kuita Watu Kwenye Kamati, au Waachwe Tuu?.
Maswali haya ni kufuatia mkutano wa jana na waandishi wa habari Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Baada ya kuzisoma hizo hoja, kabla sijaandika, nikatafuta kwanza clips ili kujiridhisha ni kweli maneno haya ameyamtaka kweli?, maana fani ya uandishi wa habari siku hizi imevamiwa, kuna waandishi wa habari wa kila aina kuanzia comedians, wasanii, na waandishi wengine wa hovyo sana, usipokuwa makini, sometimes waandishi hawa wa habari wa hovyo hovyo, hawachelewi kukulisha maneno!, hivyo nikamsikiliza mwanzo mwisho na kujirishisha kuwa ni kweli maneno hayo ameyasema, na sio tuu ameyasema, bali pia ameyaandika kwanza kisha akaja kutusomea sisi waandishi wa habari.
Kabla sijaendelea, naomba kuwakuwakumbusha wasomaji wangu, tujifunze kutofautisha definite statements na maswali. Hakuna statement kwenye bandiko hili, ni bandiko la swali! Natoa angalizo hili kwasababu mimi mwenzenu nimeisha wahi kuitwa all the way from Dar to Dodoma, kufika kule nikaulizwa kwanini umetoa hii statement? Nikajibu hiyo sio statement ni swali! Hivyo hapa nasisitiza hili ni bandiko la swali sio bandiko la statement!
Dr. Slaa ameliita Bunge Letu ni Bunge la Hovyo, na kilichofanyika kuridhia IGA ni uhuni? Ndio maana nauliza waungwana humu, hiki alichokisema Dr. Slaa kinaukweli kuhusu Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Kilichofanywa na Bunge letu kuridhia IGA ya DPW ni uhuni?. Wanaofanya uhuni ni wahuni, jee Wabunge wetu ni Wahuni?.
Bunge letu Tukufu haliwezi kudhalilishwa hivi tukanyama! Je, tumshauri Madam Spika aanze ule utaratibu kama wa mtangulizi wake kuita watu kwenye Kamati, watu wowote watakao toa kauli za kulidhalilisha Bunge, au waachwe tuu kwasababu wanatoa maoni yao kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba kuhusu uhuru wa kutoa maoni?
Nashauri Daktari aitwe mbele ya Kamati!. Mimi nilipouliza tu, hili swali Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? niliitwa Bungeni kuhojiwa na kamati!, sasa leo Bunge linaitwa la hovyo! na kilichofanyika ni uhuni!, mtu huyu hawezi kuachwa hivi hivi tuu au aitwe mbele ya kamati kuthibitisha kauli yake?
Na ikitokea asipoitwa, jee hii haitaaminisha alichosema ni kweli?, ndio maana nawauliza waungwana humu, jee ni kweli Bunge letu ni Bunge la hovyo? Jee ni kweli kilichofanyika kwa Bunge kuridhia hii IGA ya serikali yetu na Mwarabu wa Dubai ni uhuni? Mtu anayefanya uhuni ni muhuni, jee waheshimiwa wabunge wetu ni wahuni?
Paskali
Nikuulize na wewe; wewe unalionaje hili Bunge? Ni la hovyo?Wanabodi,

Waliosema hivyo sio Yeye tu, zaidi ya watu laki moja. Nao waitweNasikia huko bungeni ni kelele za kutaka Dr Slaa ahojiwe.
Huenda yeye anabifu naye kwa sababu anamuelekeo wa uanachadema, si unamjua haipendi wala hataki kuisikia Chadema, hao wasio wanachadema hawamuhusu.Waliosema hivyo sio Yeye tu, zaidi ya watu laki moja. Nao waitwe