Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?

Kweli niwahuni na WA hovyo

Dr slaa ,hawawezi kumwita watajipalia zaidi moto ,kwasababu anataarifa za ndani ,rejea amesema serikali imeshasain mikataba 17 bila tenda kutangazwa

2-- mkataba unakidhana na katiba JMT,je bunge halikuona hili? Kama waliona awaitaje Sasa(Kwa kutotangaza tenda)

3--- mikataba 17 ,imekuwaje Dr slaa asiye MBunGE aione ,wao wasione

NB ,hapa kunamtego ,Dr kacheza karata vizuri ,wakijichanganya watakutana nae mahakamani
 
Ni aibu sana watu genuine na wenye heshima kama charles kimei kuwa kwenye bunge la wapumbavu kama hilo.
Huwa nashangaa na kukosa majibu!Hivi watu kama kabudi,na wanasheria wengine waliomo bungeni hakuona udhaifu na ubovu wa mkataba huu?kwanini hatukuwasikia wakitumia elimu Yao kusema kile ambacho kilipaswa kuwemo kwenye mkataba?
 
Dhamira Yako inakushuhudia nini juu ya kauli za Dr Slaa?

Una HAKIKA hayo ulouliza ni maswali?
 
Huwa nashangaa na kukosa majibu!Hivi watu kama kabudi,na wanasheria wengine waliomo bungeni hakuona udhaifu na ubovu wa mkataba huu?kwanini hatukuwasikia wakitumia elimu Yao kusema kile ambacho kilipaswa kuwemo kwenye mkataba?
Tatizo la.msingi ni hili
IMG-20201103-WA0001.jpg
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji.

Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze Kuita Watu Kwenye Kamati, au Waachwe Tuu?.

Maswali haya ni kufuatia mkutano wa jana na waandishi wa habari Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

Baada ya kuzisoma hizo hoja, kabla sijaandika, nikatafuta kwanza clips ili kujiridhisha ni kweli maneno haya ameyamtaka kweli?, maana fani ya uandishi wa habari siku hizi imevamiwa, kuna waandishi wa habari wa kila aina kuanzia comedians, wasanii, na waandishi wengine wa hovyo sana, usipokuwa makini, sometimes waandishi hawa wa habari wa hovyo hovyo, hawachelewi kukulisha maneno!, hivyo nikamsikiliza mwanzo mwisho na kujirishisha kuwa ni kweli maneno hayo ameyasema, na sio tuu ameyasema, bali pia ameyaandika kwanza kisha akaja kutusomea sisi waandishi wa habari.

Kabla sijaendelea, naomba kuwakuwakumbusha wasomaji wangu, tujifunze kutofautisha definite statements na maswali. Hakuna statement kwenye bandiko hili, ni bandiko la swali!. Natoa angalizo hili kwasababu mimi mwenzenu nimeisha wahi kuitwa all the way from Dar to Dodoma, kufika kule nikaulizwa kwanini umetoa hii statement?, Nikajibu hiyo sio statement ni swali!. Hivyo hapa nasisitiza hili ni bandiko la swali sio bandiko la statement!.

Dr. Slaa ameliita Bunge Letu ni Bunge la Hovyo, na kilichofanyika kuridhia IGA ni uhuni?, ndio maana nauliza waungwana humu, hiki alichokisema Dr. Slaa kinaukweli kuhusu Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Kilichofanywa na Bunge letu kuridhia IGA ya DPW ni uhuni?. Wanaofanya uhuni ni wahuni, jee Wabunge wetu ni Wahuni?.

Bunge letu Tukufu haliwezi kudhalilishwa hivi tukanyama!, jee tumshauri Madam Spika aanze ule utaratibu kama wa mtangulizi wake kuita watu kwenye Kamati, watu wowote watakao toa kauli za kulidhalilisha Bunge, au waachwe tuu kwasababu wanatoa maoni yao kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba kuhusu uhuru wa kutoa maoni?.

Nashauri Daktari aitwe mbele ya Kamati!. Mimi nilipouliza tuu , hili swali Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? niliitwa Bungeni kuhojiwa na kamati!, sasa leo Bunge linaitwa la hovyo!, na kilichofanyika ni uhuni!, mtu huyu hawezi kuachwa hivi hivi tuu au aitwe mbele ya kamati kuthibitisha kauli yake?.

Na ikitokea asipoitwa, jee hii haitaaminisha alichosema ni kweli?, ndio maana nawauliza waungwana humu, jee ni kweli Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Jee ni kweli kilichofanyika kwa Bunge kuridhia hii IGA ya serikali yetu na Mwarabu wa Dubai ni uhuni?. Mtu anayefanya uhuni ni muhuni, jee waheshimiwa wabunge wetu ni wahuni?.

Paskali

Kaka mkubwa, Paskali, wewe ni mtu mzima na msomi, nikinukuu wale wazazi ambao mtoto wao aliponywa na Yesu, 'wewe ni mtu mzima' na in uwelewa mkubwa wa mambo.

Mtu akifanya jambo la hovyo na la kihuni aitweje?

Hali kadhalika, taasisi kwa pamoja (collectively) ikifanya jambo la hovyo na la kihuni napo tuiteje hiyo taasisi?

Tukiweza kuwa na tafsiri sahihi ya haya maswali, tutajua a way forward kwenye hoja iliyo mezani!

Asante
 
Mzee unaogopa kuitwa tena kwenda kujieleza? Hivi unataka kusema Tanzania tuna bunge la wananchi kweli? Walichaguliwa na wananchi gani?

Maana kilichotokea 2020 hata mtoto mdogo anajua kilikuwa ni kitendo cha kihuni. Hivyo hata hao walioko ndani ya yale majengo, watakuwa ni wahuni tu.
Nafikiri Pascal Mayala anamaanisha kwamba Mhusika asipoitwa basi wakati ule yeye alionewa.

Ukweli ni kwamba hakuna hoja iliyojadiliwa zaidi ya ile iliyopelekwa Mjengoni kutafuta uungwaji mkono. Kila aliyenyanyuka alisema ni kwanini anaunga mkono hoja na siyo kujadili hoja yenyewe. Sasa kama sio wahuni ninani???
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji.

Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze Kuita Watu Kwenye Kamati, au Waachwe Tuu?.

Maswali haya ni kufuatia mkutano wa jana na waandishi wa habari Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

Baada ya kuzisoma hizo hoja, kabla sijaandika, nikatafuta kwanza clips ili kujiridhisha ni kweli maneno haya ameyamtaka kweli?, maana fani ya uandishi wa habari siku hizi imevamiwa, kuna waandishi wa habari wa kila aina kuanzia comedians, wasanii, na waandishi wengine wa hovyo sana, usipokuwa makini, sometimes waandishi hawa wa habari wa hovyo hovyo, hawachelewi kukulisha maneno!, hivyo nikamsikiliza mwanzo mwisho na kujirishisha kuwa ni kweli maneno hayo ameyasema, na sio tuu ameyasema, bali pia ameyaandika kwanza kisha akaja kutusomea sisi waandishi wa habari.

Kabla sijaendelea, naomba kuwakuwakumbusha wasomaji wangu, tujifunze kutofautisha definite statements na maswali. Hakuna statement kwenye bandiko hili, ni bandiko la swali!. Natoa angalizo hili kwasababu mimi mwenzenu nimeisha wahi kuitwa all the way from Dar to Dodoma, kufika kule nikaulizwa kwanini umetoa hii statement?, Nikajibu hiyo sio statement ni swali!. Hivyo hapa nasisitiza hili ni bandiko la swali sio bandiko la statement!.

Dr. Slaa ameliita Bunge Letu ni Bunge la Hovyo, na kilichofanyika kuridhia IGA ni uhuni?, ndio maana nauliza waungwana humu, hiki alichokisema Dr. Slaa kinaukweli kuhusu Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Kilichofanywa na Bunge letu kuridhia IGA ya DPW ni uhuni?. Wanaofanya uhuni ni wahuni, jee Wabunge wetu ni Wahuni?.

Bunge letu Tukufu haliwezi kudhalilishwa hivi tukanyama!, jee tumshauri Madam Spika aanze ule utaratibu kama wa mtangulizi wake kuita watu kwenye Kamati, watu wowote watakao toa kauli za kulidhalilisha Bunge, au waachwe tuu kwasababu wanatoa maoni yao kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba kuhusu uhuru wa kutoa maoni?.

Nashauri Daktari aitwe mbele ya Kamati!. Mimi nilipouliza tuu , hili swali Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? niliitwa Bungeni kuhojiwa na kamati!, sasa leo Bunge linaitwa la hovyo!, na kilichofanyika ni uhuni!, mtu huyu hawezi kuachwa hivi hivi tuu au aitwe mbele ya kamati kuthibitisha kauli yake?.

Na ikitokea asipoitwa, jee hii haitaaminisha alichosema ni kweli?, ndio maana nawauliza waungwana humu, jee ni kweli Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Jee ni kweli kilichofanyika kwa Bunge kuridhia hii IGA ya serikali yetu na Mwarabu wa Dubai ni uhuni?. Mtu anayefanya uhuni ni muhuni, jee waheshimiwa wabunge wetu ni wahuni?.

Paskali

Spika ndiyo muhuni kuliko hata hao wabunge wenyewe
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji.

Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze Kuita Watu Kwenye Kamati, au Waachwe Tuu?.

Maswali haya ni kufuatia mkutano wa jana na waandishi wa habari Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

Baada ya kuzisoma hizo hoja, kabla sijaandika, nikatafuta kwanza clips ili kujiridhisha ni kweli maneno haya ameyamtaka kweli?, maana fani ya uandishi wa habari siku hizi imevamiwa, kuna waandishi wa habari wa kila aina kuanzia comedians, wasanii, na waandishi wengine wa hovyo sana, usipokuwa makini, sometimes waandishi hawa wa habari wa hovyo hovyo, hawachelewi kukulisha maneno!, hivyo nikamsikiliza mwanzo mwisho na kujirishisha kuwa ni kweli maneno hayo ameyasema, na sio tuu ameyasema, bali pia ameyaandika kwanza kisha akaja kutusomea sisi waandishi wa habari.

Kabla sijaendelea, naomba kuwakuwakumbusha wasomaji wangu, tujifunze kutofautisha definite statements na maswali. Hakuna statement kwenye bandiko hili, ni bandiko la swali! Natoa angalizo hili kwasababu mimi mwenzenu nimeisha wahi kuitwa all the way from Dar to Dodoma, kufika kule nikaulizwa kwanini umetoa hii statement? Nikajibu hiyo sio statement ni swali! Hivyo hapa nasisitiza hili ni bandiko la swali sio bandiko la statement!

Dr. Slaa ameliita Bunge Letu ni Bunge la Hovyo, na kilichofanyika kuridhia IGA ni uhuni? Ndio maana nauliza waungwana humu, hiki alichokisema Dr. Slaa kinaukweli kuhusu Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Kilichofanywa na Bunge letu kuridhia IGA ya DPW ni uhuni?. Wanaofanya uhuni ni wahuni, jee Wabunge wetu ni Wahuni?.

Bunge letu Tukufu haliwezi kudhalilishwa hivi tukanyama! Je, tumshauri Madam Spika aanze ule utaratibu kama wa mtangulizi wake kuita watu kwenye Kamati, watu wowote watakao toa kauli za kulidhalilisha Bunge, au waachwe tuu kwasababu wanatoa maoni yao kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba kuhusu uhuru wa kutoa maoni?

Nashauri Daktari aitwe mbele ya Kamati!. Mimi nilipouliza tu, hili swali Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? niliitwa Bungeni kuhojiwa na kamati!, sasa leo Bunge linaitwa la hovyo! na kilichofanyika ni uhuni!, mtu huyu hawezi kuachwa hivi hivi tuu au aitwe mbele ya kamati kuthibitisha kauli yake?

Na ikitokea asipoitwa, jee hii haitaaminisha alichosema ni kweli?, ndio maana nawauliza waungwana humu, jee ni kweli Bunge letu ni Bunge la hovyo? Jee ni kweli kilichofanyika kwa Bunge kuridhia hii IGA ya serikali yetu na Mwarabu wa Dubai ni uhuni? Mtu anayefanya uhuni ni muhuni, jee waheshimiwa wabunge wetu ni wahuni?

Paskali

Ninaamini Bunge na wabunge makini hawawezi kukubali kwenda kujadili jambo ambalo nao wamelisikia narudia wamelisikia chini ya saa 48, wengi walikwenda kujibu mapigo huku wakiamini Tanzania ni mali ya wanaccm na wasio wanaccm hawana haki kuongea lolote linalohusu uendeshaji wa nchi na ndio hao wanaolaumu uwepo wa muafaka.
Bunge makini haliwezi kuweka kikao kumjadili mwananchi asiye mbunge na hayumo ndani ya bunge, ninaamini hili hufanyika Tanzania tu, hata hivyo nijulishe nchi nyingine inayomjadili mpitanjia kama ipo.
 
Wasira, ni Mwenyekiti wa Board hana mshahara. Uzoefu wake ni mkubwa kutoa ushauri

Pili, lini Wasira au Bulembo wame post au kutoa taarifa za kujipendekeza hata kama ni za uongo toka Samia awe Rais?
Kompyuta ikiwa mpya husifiwa kwa ufanisi wake na kila saa hufutwa vumbi, muda si muda kompyuta hiyo hutupwa baada ya kuonekana ufanisi wake umepungua, Wassira amepungua kwenye uwezo wake wa kufikiri kutokana na umri wake, apumzike kama walivyofanya aliowinda nao ndege huko kwenye mapori ya Mwitongo.
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji.

Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze Kuita Watu Kwenye Kamati, au Waachwe Tuu?.

Maswali haya ni kufuatia mkutano wa jana na waandishi wa habari Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

Baada ya kuzisoma hizo hoja, kabla sijaandika, nikatafuta kwanza clips ili kujiridhisha ni kweli maneno haya ameyamtaka kweli?, maana fani ya uandishi wa habari siku hizi imevamiwa, kuna waandishi wa habari wa kila aina kuanzia comedians, wasanii, na waandishi wengine wa hovyo sana, usipokuwa makini, sometimes waandishi hawa wa habari wa hovyo hovyo, hawachelewi kukulisha maneno!, hivyo nikamsikiliza mwanzo mwisho na kujirishisha kuwa ni kweli maneno hayo ameyasema, na sio tuu ameyasema, bali pia ameyaandika kwanza kisha akaja kutusomea sisi waandishi wa habari.

Kabla sijaendelea, naomba kuwakuwakumbusha wasomaji wangu, tujifunze kutofautisha definite statements na maswali. Hakuna statement kwenye bandiko hili, ni bandiko la swali! Natoa angalizo hili kwasababu mimi mwenzenu nimeisha wahi kuitwa all the way from Dar to Dodoma, kufika kule nikaulizwa kwanini umetoa hii statement? Nikajibu hiyo sio statement ni swali! Hivyo hapa nasisitiza hili ni bandiko la swali sio bandiko la statement!

Dr. Slaa ameliita Bunge Letu ni Bunge la Hovyo, na kilichofanyika kuridhia IGA ni uhuni? Ndio maana nauliza waungwana humu, hiki alichokisema Dr. Slaa kinaukweli kuhusu Bunge letu ni Bunge la hovyo?. Kilichofanywa na Bunge letu kuridhia IGA ya DPW ni uhuni?. Wanaofanya uhuni ni wahuni, jee Wabunge wetu ni Wahuni?.

Bunge letu Tukufu haliwezi kudhalilishwa hivi tukanyama! Je, tumshauri Madam Spika aanze ule utaratibu kama wa mtangulizi wake kuita watu kwenye Kamati, watu wowote watakao toa kauli za kulidhalilisha Bunge, au waachwe tuu kwasababu wanatoa maoni yao kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba kuhusu uhuru wa kutoa maoni?

Nashauri Daktari aitwe mbele ya Kamati!. Mimi nilipouliza tu, hili swali Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? niliitwa Bungeni kuhojiwa na kamati!, sasa leo Bunge linaitwa la hovyo! na kilichofanyika ni uhuni!, mtu huyu hawezi kuachwa hivi hivi tuu au aitwe mbele ya kamati kuthibitisha kauli yake?

Na ikitokea asipoitwa, jee hii haitaaminisha alichosema ni kweli?, ndio maana nawauliza waungwana humu, jee ni kweli Bunge letu ni Bunge la hovyo? Jee ni kweli kilichofanyika kwa Bunge kuridhia hii IGA ya serikali yetu na Mwarabu wa Dubai ni uhuni? Mtu anayefanya uhuni ni muhuni, jee waheshimiwa wabunge wetu ni wahuni?

Paskali

Tkuulize

Nikuulize na wewe; wewe unalionaje hili Bunge? Ni la hovyo?
 
Dr. Slaa is absolutely right. This was expected from Corrupted and disgrace MPS and other systems
 
Back
Top Bottom