Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Bunge la Tanzania linapaswa kufuata best practice katika mchakato wake wa kuthibitisha uteuzi wa mtu fulani kuwa Waziri Mkuu. Kwenye nchi za wenzetu wenye mifumo thabiti ya kidemokrasia, mteule anayehitaji kuthibitishwa na Bunge huwekwa kitimoto wakati wa kile kinachoitwa “confirmation hearing”.
Lazima aulizwe na ajibu ipasavyo maswali yote muhimu. Nominees wenye makandokando huwa hawapenyi hapa!
Confirmation ya nominee ni mchakato unaochukua several weeks, sio masaa. Kamati maalum ya Bunge lazima ipate muda wa kutosha kukusanya na kuchambua taarifa muhimu zinazomhusu nominee. Utaratibu unaotumiwa na Bunge sasa hivi ni pure rubber stamping. There’s no vetting whatsoever. Yeyote anayeteuliwa anapewa seal of approval, blindly!