Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Just in case tukiwa na Bunge siku zijazo!😂Kwani kuna bunge hapo au kikundi cha wahuni
Unaangaika sana raisi kapitaje? Unadhani tuna serikali?Bunge la Tanzania linapaswa kufuata best practice katika mchakato wake wa kuthibitisha uteuzi wa mtu fulani kuwa Waziri Mkuu. Kwenye nchi za wenzetu wenye mifumo thabiti ya kidemokrasia, mteule anayehitaji kuthibitishwa na Bunge huwekwa kitimoto wakati wa kile kinachoitwa “confirmation hearing”.
Lazima aulizwe na kujibu ipasavyo maswali yote muhimu. Nominees wenye makandokando huwa hawapenyi hapa!
Confirmation ya nominee ni mchakato unaochukua several weeks, sio masaa. Kamati maalum ya Bunge lazima ipate muda wa kutosha kukusanya na kuchambua taarifa muhimu zinazomhusu nominee. Utaratibu unaotumiwa na Bunge sasa hivi ni pure rubber stamping. There’s no vetting whatsoever. Yeyote anayeteuliwa anapewa seal of approval, blindly!
Tanzania kuna Bunge?hilo Bunge la Baba Levo, Babu Tale, Mwana FA unategemea nini huko?Bunge la Tanzania linapaswa kufuata best practice katika mchakato wake wa kuthibitisha uteuzi wa mtu fulani kuwa Waziri Mkuu. Kwenye nchi za wenzetu wenye mifumo thabiti ya kidemokrasia, mteule anayehitaji kuthibitishwa na Bunge huwekwa kitimoto wakati wa kile kinachoitwa “confirmation hearing”.
Lazima aulizwe na kujibu ipasavyo maswali yote muhimu. Nominees wenye makandokando huwa hawapenyi hapa!
Confirmation ya nominee ni mchakato unaochukua several weeks, sio masaa. Kamati maalum ya Bunge lazima ipate muda wa kutosha kukusanya na kuchambua taarifa muhimu zinazomhusu nominee. Utaratibu unaotumiwa na Bunge sasa hivi ni pure rubber stamping. There’s no vetting whatsoever. Yeyote anayeteuliwa anapewa seal of approval, blindly!
Hakukuwa na uchaguzi Tanzania Bunge ni haramuUnaangaika sana raisi kapitaje? Unadhani tuna serikali?
Waachiwe ili waendelee kuteka watu kuwaua kuwabambikia kesi za uongo?
Muda huongea...Waachiwe ili waendelee kuteka watu kuwaua kuwabambikia kesi za uongo?
Tanzania huwa ipo kama ipo sayari ingine siyo Duniani, Tanganyika haijapata Uhuru inatawaliwa kidikteta na kaburu mkoloni tokea Zanzibar sasa, vyote vitakuja kufanyika siku Tanganyika ikijikomboa toka mikononi mwa makaburu wa ZanzibarUSA, UK, wakuu wa taasisi zote muhimu wanaitwa kuhojiwa kama TRA, TCRA, NIDA, mawaziri wanaulizwa maswali yoyote kuhusu maisha yao, CV zao.
Unahitaji uchaguzi mkuu huru kupata wabunge huru, hata wabunge binafsi wasio na vyama kuwa wagombea wa levels zote kuanzia mtendaji wa kijiji, mtaa, kata, wilaya, jimbo.
Mda uongee haraka muungano Ufe ili Tanganyika ipate Uhuru wakeMuda huongea...
Tanzania hakuna BungeKwani kuna bunge hapo au kikundi cha wahuni