Bunge libadili Sheria ya makosa ya jinai, mtu anekamatwa nyumbani/ mtaani ni lazima mjumbe wa nyumba kumi na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wawepo

Bunge libadili Sheria ya makosa ya jinai, mtu anekamatwa nyumbani/ mtaani ni lazima mjumbe wa nyumba kumi na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wawepo

INASIKITISHA WALLAH.
Mtu hawezi kutekwa Dar-es-salaam au mkoa mwingine kisha apatikane mkoa mwingine zaidi kama Katavi huko.

Huo ni unyama na ukatili na pia ni kunyume cha haki za binadamu.
 
Back
Top Bottom