Bunge lijalo litakuwa hivi

Bunge lijalo litakuwa hivi

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,092
Reaction score
2,210
Bunge lijalo

Spika; Wabunge Mmepoa Sana, Eh Nyie Wastarabu Adi Raha [emoji4]

Wabunge; Paaaaah! Paaaaah! Paaaaaah

Spika; Muheshimiwa Gwajima Tunaona Mkono Hapo

Gwajima; Nina La Kusema Basi, Jamani Bwana Yesu Asifiwe Sana
 
Bunge lijalo litakua ndioooo! Amna hoja za kupinga kuleta changamoto!

Mmoja akisema wanaume tuvae sketi wore utaskia ndioooooo!

Alafu inapelekwa kwa mkuu anapiga saini!

Na ole wako mbaba ukatae kuvaa gauni utaisoma namba🤣
 
Bunge lijalo litakua ndioooo! Amna hoja za kupinga kuleta changamoto!

Mmoja akisema wanaume tuvae sketi wore utaskia ndioooooo!

Alafu inapelekwa kwa mkuu anapiga saini!

Na ole wako mbaba ukatae kuvaa gauni utaisoma namba[emoji1787]
Si ndio Akili zenu zilivyo
 
Tena litaongozwa na huyu
 
Bunge lijalo litakua ndioooo! Amna hoja za kupinga kuleta changamoto!

Mmoja akisema wanaume tuvae sketi wore utaskia ndioooooo!

Alafu inapelekwa kwa mkuu anapiga saini!

Na ole wako mbaba ukatae kuvaa gauni utaisoma namba🤣
Kwa hiyo unataka wapinge tu hata kama hakuna cha kupinga?
 
Kwa hiyo unataka wapinge tu hata kama hakuna cha kupinga?
Kwa mfano wewe Ni mbunge wa CCM ukisema wanaume tuvae shanga, Mimi sitopinga kwa sababu Ni tuko chama kimoja?

Au Kila kitu mtapitisha kwa matakwa yenu na kuachia bunge live?
 
Speaker: Huko jamii forum wanasumbua sana,wanajifanya wajuaji na kujifanya kuwa wana kiherehere,tuwafanyeje?

Mrisho Gambo: Mh.Speaker kwa wingi wetu lukuki tutunge sheria ya kufuta mitandao yote ya kijamii Tanzania

Wabunge wote: Paah,Paaah,Paaaah,imepita hiyooooo!
 
Speaker:Huko jamii forum wanasumbua sumbua sana,tuwafanyeje?

Mrisho Gambo:Mh.Speaker kwa wingi wetu lukuki tutunge sheria ya kufuta mitandao yote ya kijamii Tanzania

Wabunge wote:Paah,Paaah,Paaaah,imepita hiyooooo!
Tutegemee Sheria kandamizi zilizotungwa na mtu mmoja!

Na hakuna atakayelalamika popote!

Watakaojuta Ni wale wanaosheherekea mtaani na Kila siku wanatuomba hela ya kula!

Manina zao nimewapiga ban wote!

Twende kigumu mwanzo mwisho
 
John sins:
ningependekeza tubadili katiba pale kwenye kipindi cha utawala rahisi aongezewe mda

Mbogamboga
Pwah pwah pwah !!!!

Kazi ndugu
mmelihafiki hilo

Mbogamboga
Ndioooo

Ndiooooooo
 
John sins:
ningependekeza tubadili katiba pale kwenye kipindi cha utawala rahisi aongezewe mda

Mbogamboga
Pwah pwah pwah !!!!

Kazi ndugu
mmelihafiki hilo

Mbogamboga
Ndioooo

Ndiooooooo
😂 😂 😂
Eti John Sins..!!
 
Back
Top Bottom