Uchaguzi 2020 Bunge lijalo tunamtaka mwanamke kijana

Uchaguzi 2020 Bunge lijalo tunamtaka mwanamke kijana

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba nionyeshe mapendekezo yangu juu ya Spika ajae katika Bunge letu laJamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nadhani mwanadada Tulia Ackson anafaa kuwa Spika wa Bunge letu la JMT mwaka 2021.

Ila angalizo akagombee Tukuyu au awe wa kuteuliwa kama alivyo sasa. Mbeya hapana Sugu bado heshima na nyota yake ni kubwa mno.

Ila naomba Bunge lijalo Spika awe mwanamke.

Asanteni kwa kunisikiliza.

Superbug !
 
Tulia Ackson njoo Busokelo au Tukuyu tutakupa kura Mimi naishi hapa katumba Tukuyu nakuapia nitakupigia jaramba Nina influence na capacity ya kufanya hivyo. Niko radhi uwe mbunge wa kuchaguliwa Tukuyu au Busokelo kuliko ndugai kuwa spika Yani iko hivi Bora Chadema chama changu kipoteze ubunge Busokelo na Tukuyu kuliko ndugai arudi Tena bungeni Kama spika.
 
Back
Top Bottom