Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Hii ni nzuri itatusaidia kudili now man to man,Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
NAKAZIADuh nimekumbuka ester matiko alivyopigwa sole la kunduh na yule poti Kule kwny harakati za uchaguzi.
Bunge Lifutwe Halina Maana TenaUpuuzi sana huu, leo hawaoni kesho wataanza kuulizana tulizipitishaje hizi sheria jamani,
Katika muhimili ambao kwa sasa hauna kazi ni Bunge, hayo ma bilioni wanayochezea kwenye hilo jengo la anasa Bora yaelekezwe kwenye kilimo na mafunzo kwa vitendo kuliko kuwapa hao wadhaifu.
Inasikitisha sana. Kama kwa sheria zilizopo tu malalamiko ya kuteswa na kufia mikononi mwa polisi yapo, je huo muswada ukitoa kinga ya namna hiyo si malalamiko yatazidi?Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
Unategemea nini kutoka kwa bunge kama hili. once pathetic, always patheticBunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
Safi sana Uzuri SHERIA NI MSUMENO haitakuwa kwa Wapinzani hata wao itawakataBunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
Duh!Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.

Kama ni hivyo, wamelenga chaguzi Askari wajeruhi na wasishitakiwe, CCM ushindi wao hutegemea jeshi hili kwa kuwa sanduku la kura ni kesho hawapo.Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.