Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Acha kujishusha namna hiyo.mpumbavu wewe naona andiko lako linachuki tu na wazanzibar.kama mnaona wazanzibar wanapendelewa basi vunjeni muungano.
Piga ban hii kimampumbavu wewe naona andiko lako linachuki tu na wazanzibar.kama mnaona wazanzibar wanapendelewa basi vunjeni muungano.
Nani ataitengeneza hiyo hati ya dharula. Ksimu?
View attachment 2073000
Naunga mkono hoja, kwani Kuna tetesi nimesikia kuwa zenji wamepata mgawo wa Bil. 200. Hii haikubaliki kulingana na uwiano wa watu na eneo Kati ya bara na zenjiKila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Kitendo cha Samia kupeleka bilioni 230 Zanzaibar ni ufisadi mtupu. Tunaambiwa hata ndege mpya zote zilizopokewa wakati wa utawala wake zimeelekezwa Zanzibar. Huyu mama anatutafuta maneno na atayapata.Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Unajua ukweli mchungu ni kwamba, Mwalimu ndie ""aliiuza Tanganyika kwa ZNZ...Kitendo cha Samia kupeleka bilioni 230 Zanzaibar ni ufisadi mtupu. Tunaambiwa hata ndege mpya zote zilizopokewa wakati wa utawala wake zimeelekezwa Zanzibar. Huyu mama anatutafuta maneno na atayapata.
Kwa Hawa wabunge waliopitishwa bila kupingwa wa kiwemo Covid 19?Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Bunge likajijadili? Huo umepitishwa na kuridhiwa na bunge. Wakati huo Ndugai alikuwa hospitali?Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Mbona hamkijadili ma tirilioni ya awamu ya 5?Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.