Bunge linamalizika, je Samani huwa zinabadilishwa, naona fursa ya Viti vile😌

jannelle

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
1,145
Reaction score
2,218
Mwenzenu nawaza fursa tu, si unajua pesa ya kutegemea mbaya..
haya tuachane na hiyo😊
Bunge hiloo linaenda zake, je huwa wanautaratibu wa kutoa zile Samani zake? Maana ni almost 5 years nadhani wanatumia, kama wanauza tupeni network jamani tukapambanie, hata pcs 100 tu.

Kwanza tunapunguza nuksi ya wabunge waliokuwa wanalala bungeni😂 jocking.
 

Attachments

  • iMg.jpeg
    52.5 KB · Views: 20
Ila janelle, kwahio hapo unataka viti vya bunge?! Sasa utaviuza wapi? 😳
 
Kwanza hio rangi hata kwenye basi tu haikubaliki, sebule havikai, labda kama wafanya conference watavihitaji utapata soko.
Yes kunawatu wa Hotels Local wana conference hall pia
 
yaani uchukue gundu la hao jamaa ukapeleke kwako..sheria za kuhalalisha watu kutekwa na kupotezwa,tozo kandamizi,mikataba ya wizi ya rasilimali,sheria za uonevu yamepitishwa wakiwa wamekalia viti hivyo..raia wamelia sana,wameumizwa,wamelaani na kujiapiza mabaya juu ya yote yaliyo watesa ambao yalipitishwa juu ya viti hivyo na mbaya zaidi wanachi walipuuzwa hadi kuitwa ke.ge..yanini ww kununua msala
 
Kwa wenzetu wanakuwa na website za kuuza kwa mnada mali za serikali. Waviweke mnadani.
 
Eeh 🥺🙌🏽 basi nimekoma
 
Duka lako la Kinondoni umefunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…