Bunge linamjadili mtu kwa uchungu kuliko kujadili yanavyoumiza wananchi

Wanajadili maslahi yao kwanza

Ova
 
Yaani hadi kichefuchefu
 
Sijawahi kuona Bunge la kipumbavu kama hili, wapo kwa maslahi yao tu
 
Kuhusu matozo, eliminate hovyo, kuibiwa mabilioni na mahasara ya atcl hiyo haiwahusu na wananchi hawajawatuma iyokitu!! Imewatuma kumkomalia slaa na gwajiboi
 
Gwajima na mwenzio waligusa masrahi ya wafalme.., maana kina Ndugai na wenziye wanajiona ni wafalme.., mpaka wanasahau kama mwisho wao pia ni mchangani kama iliivyo kwa raia wengine.
 
Hili bunge limegeuka kuwa genge la wahuni, hawana tofauti wa wavuta bangi
 
Ndugaye anapambana amalizie hoteli yake, Hawezi kukubali kamwe mtu aingilie maslahi ya wabunge, ni bora mumuone mbaya tu, kwani anaathirika na nini mkimtukana?

Tukisema tupate katiba mpya itakayowaondolea kinga ya kushtakiwa kuna watu wanaanza kudemka. Unafikiri ndugai zaidi ya kumsema huku mitandaoni una chakumfanya kingine? ukamstaki kwa kifungu kipi cha sheria? Wataendelea kutumia madaraka vibaya hawa hadi milele yasipobadilika.
 
Kwanini mliamua kuwa na Bunge la watu walipita Kwa magumashi
Sababu ni ccm bila ya magufuli ni mafii ya kuku sisi tulimpa magufuli wabunge lakini baada ya magufuli kufa tutatembea na code mpya wewe huoni mama minido kapoteza mvuto hiyo ndiyo code mpya
 
Wao wabunge almost wote walipitia mlango wa uani.
Wanachojua ni kuripoti kwa aliyewapitisha mlango wa uani.
 
inadhihirisha watanzania tunapenda kusema watu kuliko matukio
 
Wanafiki hao

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kile kilinge kama vilinge vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…