Joseph Kaluta Member Joined Sep 16, 2017 Posts 8 Reaction score 1 Sep 17, 2017 #1 Je, Bunge lina mamlaka ya kufuta kifungu mama na kinacho tengeneza sura ya katiba na mfumo wa utawala bila kushirikisha wananchi?? ZINGATIA "Legitimacy of the people"
Je, Bunge lina mamlaka ya kufuta kifungu mama na kinacho tengeneza sura ya katiba na mfumo wa utawala bila kushirikisha wananchi?? ZINGATIA "Legitimacy of the people"
young solicitor JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 1,123 Reaction score 713 Sep 18, 2017 #2 Joseph Kaluta said: Je, Bunge lina mamlaka ya kufuta kifungu mama na kinacho tengeneza sura ya katiba na mfumo wa utawala bila kushirikisha wananchi?? ZINGATIA "Legitimacy of the people" Click to expand... Legally yes 2/3 majority ya kubadili katiba wanayo
Joseph Kaluta said: Je, Bunge lina mamlaka ya kufuta kifungu mama na kinacho tengeneza sura ya katiba na mfumo wa utawala bila kushirikisha wananchi?? ZINGATIA "Legitimacy of the people" Click to expand... Legally yes 2/3 majority ya kubadili katiba wanayo
M magesa sam Member Joined Aug 16, 2017 Posts 50 Reaction score 39 Sep 18, 2017 #3 Joseph Kaluta said: Je, Bunge lina mamlaka ya kufuta kifungu mama na kinacho tengeneza sura ya katiba na mfumo wa utawala bila kushirikisha wananchi?? ZINGATIA "Legitimacy of the people" Click to expand... Itakuwa sio haki labda watumie ubabe tu
Joseph Kaluta said: Je, Bunge lina mamlaka ya kufuta kifungu mama na kinacho tengeneza sura ya katiba na mfumo wa utawala bila kushirikisha wananchi?? ZINGATIA "Legitimacy of the people" Click to expand... Itakuwa sio haki labda watumie ubabe tu
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 13,741 Reaction score 13,049 Sep 19, 2017 #4 young solicitor said: Legally yes 2/3 majority ya kubadili katiba wanayo Click to expand... Sasa kulikuwa na haja gani ya bunge la katiba?
young solicitor said: Legally yes 2/3 majority ya kubadili katiba wanayo Click to expand... Sasa kulikuwa na haja gani ya bunge la katiba?
CHIEF MP JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,559 Reaction score 679 Sep 27, 2017 #5 Ingekuwa sawa kama Bunge lingekuwa accountable kwa wananchi. Tatzo hao waliopo wanabadilisha vifungu mama kwa maslahi yao na vyama vyao vya Siasa.
Ingekuwa sawa kama Bunge lingekuwa accountable kwa wananchi. Tatzo hao waliopo wanabadilisha vifungu mama kwa maslahi yao na vyama vyao vya Siasa.