Bunge linaweza kubadilisha kifungu mama bila kushirikisha wananchi?

Bunge linaweza kubadilisha kifungu mama bila kushirikisha wananchi?

Joseph Kaluta

Member
Joined
Sep 16, 2017
Posts
8
Reaction score
1
Je, Bunge lina mamlaka ya kufuta kifungu mama na kinacho tengeneza sura ya katiba na mfumo wa utawala bila kushirikisha wananchi??

ZINGATIA

"Legitimacy of the people"
 
Ingekuwa sawa kama Bunge lingekuwa accountable kwa wananchi. Tatzo hao waliopo wanabadilisha vifungu mama kwa maslahi yao na vyama vyao vya Siasa.
 
Back
Top Bottom