Bunge lisijadili Mitaala ya Elimu, Wabunge wengi wana upeo mdogo

Wawaachie wataalamu wizarani.
Wabunge wanaweza mipasho na kujipendekeza hata angekuwa professor.
 
Point kubwa.
 
Tena iwe marufuku kwa Bunge hili kujadili mitala ya Elimu. Hivi Ndungai anadhani hili Bunge ni Wataalamu wa kila kitu?

Hembu waache utani kabisa, kuna vitu hawaviwezi, labda wanatafuta siku za posho tu.
Alitaka kila siku wanavyoingia kipindi cha bunge watenge muda maalumu kujadili mabadiliko ya mitaala ya Elimu Tanzania.
Hatari sana!
 
kubadili mtaala kunawahusu, curriculum specialist au Educationist.

Sio akina BABU NA KIBAJAJI🙄🙄🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…