Bunge litazame upya madai ya waalimu

Bunge litazame upya madai ya waalimu

Pahali

New Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Ktk hali iliyotofauti na miaka mingine,mwaka huu bunge limeanza mwezi wa nne na kwa matarajio ya waalimu walio wengi ni kuona serikali ikiwajibu madai yao mfano kuongeza maslai na kuboresha mazingira ya kufanyia kazi,cha kuiomba serikali ni hicho ili kuzuia matatizo mbalimbali ktk sekta ya Elimu,Natumaini Mungu itawatangulia wote huko bungeni
 
Back
Top Bottom