Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Pendekezo lililopo sio hasa kuchukua mali ya mtu bali kuhakikisha kila raia anaandika wosia na kuutunza sehemu salama.Kwa hiyo kama mzee ana nyumba na watoto, akifa ghafla bila wosia, serikali ichukue nyumba ifanye NHC,
Kwa waislamu wana taratibu zao za miradhi,
Haujui tu yanayoendelea mtu akifa ghafla , hoja ya mtoa mada ipo Sawa kabisa , taratibu za kimila Kwa sasa hazina nguvu, Mkono wa serikali ndo utakaotiisha , watu Wanauana Sana .... Wosia unatakiwa uwe updated kila mwakaHatuko nyuma kiasi hicho. Waafrika wengi wanataratibu za kimila- labda kama wewe unazipiga vita mila za kabila yako.
Akili za CCM hizi ...na tunajua ccm ni mafii .Hii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki.
Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua wosia unasemaje.
Itasaidia sana kuondoa migogoro inayofuatia baada ya mtu kuaga dunia. Itaboresha mahusiano baina ya ndugu.
Serikali itakuwa imeongeza chanzo cha mapato ikiwa watu hawataandika wosia. Kimsingi faida kubwa zaidi kwa serikali ni uwepo wa mahusiano mazuri katika jamii baada ya misiba.
TOKA HAPASerikali itakuwa imeongeza chanzo cha mapato ikiwa watu hawataandika wosia. Kimsingi faida kubwa zaidi kwa serikali ni uwepo wa mahusiano mazuri katika jamii baada ya misiba.
Kwa uoande wa Waislam hili tatizo halipo kwa sababu kila kitu kipo waziHii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki.
Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua wosia unasemaje.
Itasaidia sana kuondoa migogoro inayofuatia baada ya mtu kuaga dunia. Itaboresha mahusiano baina ya ndugu.
Serikali itakuwa imeongeza chanzo cha mapato ikiwa watu hawataandika wosia. Kimsingi faida kubwa zaidi kwa serikali ni uwepo wa mahusiano mazuri katika jamii baada ya misiba.
Halafu serikali uchukue pia jukumu la kuwatunza hao mayatima!Hii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki.
Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua wosia unasemaje.
Itasaidia sana kuondoa migogoro inayofuatia baada ya mtu kuaga dunia. Itaboresha mahusiano baina ya ndugu.
Serikali itakuwa imeongeza chanzo cha mapato ikiwa watu hawataandika wosia. Kimsingi faida kubwa zaidi kwa serikali ni uwepo wa mahusiano mazuri katika jamii baada ya misiba.
Haya yangesemwa na mtu ambaye hajawahi kufiwa labda ingeeleweka. Yangesemwa na mtu asiyejua wizara yetu ya ardhi ifanyavo kz, angeeleweka. Nje ya hapo huenda aliyeandika ni mwajiriwa wa hiyo wizara au hajafanya utafiti wa kutosha.Hii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki.
Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua wosia unasemaje.
Itasaidia sana kuondoa migogoro inayofuatia baada ya mtu kuaga dunia. Itaboresha mahusiano baina ya ndugu.
Serikali itakuwa imeongeza chanzo cha mapato ikiwa watu hawataandika wosia. Kimsingi faida kubwa zaidi kwa serikali ni uwepo wa mahusiano mazuri katika jamii baada ya misiba