Sibishani na wewe, jina lako TU linaelezea wewe ni Nani.Kwa sababu ubongo wako una upofu
Nani sasa atusaidie?Badala ya kusaidiwa mitumba ya nguo za ndani tusaidiwe mafunzo ya mashine za kutengeneza nguo.
Badala ya kusaidiwa unga wa yanga tupewe mafunzo ya kilimo bora na teknolojia mpya ya maswala ya kilimo.
Badala ya kuletewa ARVs tuletewe teknolojia ya kutengeneza dawa
Badala ya kusaidiwa chanjo tuletewe teknolojia na mafunzo ya kuandaa chanjo.
Kwangu mimi msaada wa dharura ni wa kujenga kiwanda cha chanjo na sio kugeuzwa soko la chanjo na dawa.
Huu ndio msaada endelevu nitakaouthamini.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Burundi? π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππ€£π€£π€£wapo marafiki wa kweli ambao sio mabeberu
jingalao atakukera TU na akili yake mfuBurundi? π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππ€£π€£π€£
Lipi hilo?Badala ya kusaidiwa mitumba ya nguo za ndani tusaidiwe mafunzo ya mashine za kutengeneza nguo.