MrIsidori Senior Member Joined Apr 3, 2014 Posts 191 Reaction score 83 Sep 1, 2015 #1 Ukawa hawakuhudhuria bunge maaluum la katiba na posho zao hawakuchukua, hizi posho zao ziliishia mifuko ya akina nani?
Ukawa hawakuhudhuria bunge maaluum la katiba na posho zao hawakuchukua, hizi posho zao ziliishia mifuko ya akina nani?
T TheDealer JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 2,424 Reaction score 1,130 Sep 1, 2015 #2 samia suluhu mgombea mwenza wa magufuli anaweza kujibu vizuri hili swali
airGrid JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 961 Reaction score 772 Sep 1, 2015 #3 Nafikiri MDAHALO alioumba 6 kukutana na RAISI wetu auanzie hapo.......