Bunge ni Mhimili Huru, si busara kukatisha Matangazo Mubashara ya Bunge kupisha matangazo mengine

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Bunge ni moja ya mihimili mitatu ya dola, baada ya matangazo ya moja kwa moja ya Bunge kusitishwa, iliamuliwa kipindi cha Maswali na Majibu ndicho pekee kiendelee kutangazwa live.

Imeishatokea huko nyuma na sii mara moja wala mbili, matangazo haya Bunge Live kusitishwa kupisha matangazo mengine ya live kuhusu tukio jingine muhimu la kitaifa.

Iwapo matangazo haya yatasitishwa kupisha tukio ambalo ni unscheduled, yaani tukio ambalo halikupangiwa muda, bali limetokea tuu kwa muda huo na ukagongana na muda wa Bunge Live, then ni sawa kukatisha matangazo ya Bunge Live na kutangaza tukio hilo jingine.

Lakini kwa tukio lililopangwa rasmi, sio busara kulipanga muda wa Bunge Live kutakakopelekea kusitisha matangazo live ya Bunge kupisha tukio jingine lilipongwa kwa muda huo ambao tayari umeishajulikana ni muda mahsus wa matangazo live ya Bunge.

Kitendo cha kupanga tukio jingine lolote litangazwe live kwa muda ule ule wa matangazo live ya Bunge, halafu matangazo ya Bunge yakakatishwa, kupisha matangazo ya tukio jingine, ni dharau kwa Bunge letu tukufu.

Tanzania lazima tufike mahali, mihimili hii mikuu mitatu ya dola kuheshimiana. Wakati wa Bunge, ikiishajulikana kuanza saa 3:00-5:00 ni muda wa Bunge Live, then kusitokee tena mhimili mwingine, ukapanga tukio lake kuanza ndani ya muda wa live za Bunge, na badala yake, matukio mengine yote yatakayotangazwa live wakati wa kipindi cha Bunge Live, yapangwe kuanzia saa 5:00 asubuhi, ili kupisha Bunge Live.

Mfano kuna ubaya gani kama shughuli zote za Ikulu au shughuli za taasisi nyingine zote, zinazopangwa kutangazwa live, wakati wa kipindi cha Bunge Live, zipangwe kuanza saa 5:00 asubuhi ili tusikatishe matangazo ya Bunge Live kwa ajili ya shughuli nyingine yoyote!.

Kitendo cha kupanga shughuli nyingine ya kutangazwa live katika muda ule ule wa Bunge Live, halafu matangazo ya Bunge Live yakakatishwa kupisha matangazo ya hiyo shughuli nyingine, ni dharau kwa muhimili wa Bunge kuashiria hiyo shughuli nyingine ndio muhimu zaidi kuliko matangazo ya Bunge. Huku ni kudharauliana baina ya mhimili, mihimili iheshimiane, Bunge liheshimiwe.

Wito kwa TBC: Kwa vile nyinyi ndio watangazaji wa matangazo live ya Bunge, mfike mahali hayo matangazo ya Bunge Live, yawe " ring fenced", yafanywe ka ni right ya Watanzania kuangalia Bunge live na sio kama hisani, ili ili wakati wa kipindi cha Bunge, likija ombi jingine lolote la taasisi yoyote kuomba kutangaziwa live tukio lake, then waambiwe huu ni muda wa Bunge live na muda huo haupatikani kwa taasisi nyingine yoyote, na badala yake matangazo yao yaanze saa 5:00 asubuhi baada kipindi cha Bunge Live kumalizika.

Wasalaam.

Paskali
 
Nyie bado mnayo Muda ya kuangalia mambo ya kipuuzi yanayofanywa na wapumbavu?- by JPM
 
Wewe lini utalinganisha executive na bunge bhana? Yaani uache kusikia Mkuu wa Dola na tena Kiongozi wa Serikali uesikilize Bunge ambalo miswada yake karibia yote inaanzia kwenye Executive?
 
Raisi ni Namba Moja, nikuulize kwa nini Mawaziri ni Wabunge? Waziri Mkuu ni Mbunge, nafasi yake ni ipi Bungeni? Hata Spika wa Bunge Bosi wake Chamani ni Raisi wa nchi!

Raisi wa JMTZ yuko JUU ya Sheria za JMTZ!
 
Kwani wewe na kaka yako si ndio mmefanya mnaongoza muhimili uliojichimbia sasa unaleta porojo gani tena?Unajitekenya then unacheka mwenyewe haya bhana sisi tunawaangalia mnakoelekea kuna sehemu tutafika pamoja nyinyi mkiwa tulipo
IMG-20170907-WA0001.jpg
IMG-20170907-WA0001.jpg
IMG-20170907-WA0001.jpg
IMG-20170907-WA0001.jpg
v mbn dry y cm
IMG-20170907-WA0001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Bunge ni moja ya mihimili mitatu ya dola, baada ya matangazo ya moja kwa moja ya Bunge kusitishwa, iliamuliwa kipindi cha Maswali na Majibu ndicho pekee kiendelee kutangazwa live.

Imeishatokea huko nyuma na sii mara moja wala mbili, matangazo haya Bunge Live kusitishwa kupisha matangazo mengine ya live kuhusu tukio jingine muhimu la kitaifa.

Iwapo matangazo haya yatasitishwa kupisha tukio ambalo ni unscheduled, yaani tukio ambalo halikupangiwa muda, bali limetokea tuu kwa muda huo na ukagongana na muda wa Bunge Live, then ni sawa kukatisha matangazo ya Bunge Live na kutangaza tukio hilo jingine.

Lakini kwa tukio lililopangwa rasmi, sio busara kulipanga muda wa Bunge Live kutakakopelekea kusitisha matangazo live ya Bunge kupisha tukio jingine lilipongwa kwa muda huo ambao tayari umeishajulikana ni muda mahsus wa matangazo live ya Bunge.

Kitendo cha kupanga tukio jingine lolote litangazwe live kwa muda ule ule wa matangazo live ya Bunge, halafu matangazo ya Bunge yakakatishwa, kupisha matangazo ya tukio jingine, ni dharau kwa Bunge letu tukufu.

Tanzania lazima tufike mahali, mihimili hii mikuu mitatu ya dola kuheshimiana. Wakati wa Bunge, ikiishajulikana kuanza saa 3:00-5:00 ni muda wa Bunge Live, then kusitokee tena mhimili mwingine, ukapanga tukio lake kuanza ndani ya muda wa live za Bunge, na badala yake, matukio mengine yote yatakayotangazwa live wakati wa kipindi cha Bunge Live, yapangwe kuanzia saa 5:00 asubuhi, ili kupisha Bunge Live.

Mfano kuna ubaya gani kama shughuli zote za Ikulu au shughuli za taasisi nyingine zote, zinazopangwa kutangazwa live, wakati wa kipindi cha Bunge Live, zipangwe kuanza saa 5:00 asubuhi ili tusikatishe matangazo ya Bunge Live kwa ajili ya shughuli nyingine yoyote!.

Kitendo cha kupanga shughuli nyingine ya kutangazwa live katika muda ule ule wa Bunge Live, halafu matangazo ya Bunge Live yakakatishwa kupisha matangazo ya hiyo shughuli nyingine, ni dharau kwa muhimili wa Bunge kuashiria hiyo shughuli nyingine ndio muhimu zaidi kuliko matangazo ya Bunge. Huku ni kudharauliana baina ya mhimili, mihimili iheshimiane, Bunge liheshimiwe.

Wito kwa TBC: Kwa vile nyinyi ndio watangazaji wa matangazo live ya Bunge, mfike mahali hayo matangazo ya Bunge Live, yawe " ring fenced", yafanywe ka ni right ya Watanzania kuangalia Bunge live na sio kama hisani, ili ili wakati wa kipindi cha Bunge, likija ombi jingine lolote la taasisi yoyote kuomba kutangaziwa live tukio lake, then waambiwe huu ni muda wa Bunge live na muda huo haupatikani kwa taasisi nyingine yoyote, na badala yake matangazo yao yaanze saa 5:00 asubuhi baada kipindi cha Bunge Live kumalizika.

Wasalaam.

Paskali
Kulikoni leo mkuu, umepanga kubadilisha makazi?

Mkuu jaribu kupunguza chuki binafsi, tatizo lenu hata kizuri kipi kifanyike hamtaunga mkono kwa hiyo tumewazoea na huandishi wenu kama gazeti
 
Kweli lisemwalo lipo! Mtu ameandika uzi kama kakipele kamechachamaa na kanamuwasha na kumnyevua baada ya kuona mwenye kucha za kumkuna akiwa mmojawapo wa wasulubiwa!
 
Kama Spika anapiga simu kuuliza achague wajumbe wa namna gani kwenye Kamati uaishangae na hili
 
Back
Top Bottom