Bunge si Jumba la Sanaa, ni mahali Patakatifu Kisiasa katika ukombozi wa mawazo ya mnyonge

Hili siyo Bunge, bali ni kikundi cha wateule wa Meko waliopata fursa ya kukaa Dodoma na kula fedha za walipa Kodi kwa kufanya maigizo ya Bunge.
 
Kumbe mutungi???nadhan ndan yake kutakuwa na vyura watupu
 
Bunge la watu serious huwezi ona mtu kama waziri anasimama anaanza kumsifia mumewe, huu ujinga na ulevi wa kipumbavu uliojaa usomi wa kihayawani unaweza zaidi kuuona Tanzania.
 
Kama umeandika kwa kujipendekeza basi subiri uteuzi kwa kuwa kuna nafasi za korona ziko wazi.Kama alikuwa na nia ya kujulikana basi huna ajili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…