beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,880 Reaction score 6,368 Jan 7, 2022 #1 Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa Sita wa Bunge (1 - 11 Februari, 2022) hivyo Wabunge wametakiwa kufika Dodoma 31 Januari, 2022
Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa Sita wa Bunge (1 - 11 Februari, 2022) hivyo Wabunge wametakiwa kufika Dodoma 31 Januari, 2022
N Nkanini JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 7,157 Reaction score 17,390 Jan 7, 2022 #2 Hii ni nafasi ya mwisho kwa Covid 19 MPs kujaribu kuokoa heshima yao,wasirudi bungeni maana SIO wabunge halali,hawana sifa ya kuwa wabunge.
Hii ni nafasi ya mwisho kwa Covid 19 MPs kujaribu kuokoa heshima yao,wasirudi bungeni maana SIO wabunge halali,hawana sifa ya kuwa wabunge.