NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Za mida tena wakuu!
Kuna sheria ya mitandao ilitungwa kwa pupa na Bunge letu hili ili kutuziba midomo tusiripoti taarifa za kuikosoa serikali ya mtakatifu!mfalme!asiekosea! Malaika!mungu wa tz! Rais wa milele na mzalendo wa kule Chato!
Sasa kwa kuwa maji hayazuiliki kwa mikono wala huwezi mzuia kulia anaebinywa kende kwa plaizi!Basi kwenye mtandao ambao hata mimi sina akaunti yaani na google tu!napata taarifa nyeti zenye kushtusha hadi tumbo langu linavuruga na kuendesha usiku kucha!
Tangu uhuru hadi leo hakuna kipindi ambacho serikali ipo uchi kama hii kutokana na UJINGA wa kutunga sheria ya hovyo kama hiyo!!!Kwa sasa hata nchi adui zinajua tz kuna matatizo makubwa tena ya siri kama kucheweshwa kwa majeshi kulipwa posho!!Huo ni uzembe wa kuhatarisha nchi yetu!
Wito wangu Bunge hili lingetengua ile sheria ilio tuziba mdomo ili tupumue tukiwa huyu kuliko ilivyo sasa ambapo tunajambia sirini tumevaa mask lakini ushuzi unahatarisha Amani na kuua umoja wetu kama taifa!
Kama mkipuuza nawahakikishia tutaadhirika vilivyo tena sana tunapoelekea kwenye zoezi nyeti lijalo!!Tutadukuliwa hadi nyeti za misingi ya nchi zitakuwa hadharani kama za mwanangu wa miezi mitatu!!ndipo tutakaposhindwa hata kujilinda kama taifa kwa ujumla!
KAZI KWENU WABUNGE KAMA MNATAKA KULIOKOA TAIFA!!!