Bunge tukufu

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Hivi bunge la Tanzania linaweza kuitwa bunge tukufu , au ni kilemba cha ukoka ? Kuipitisha Katiba kimagumashi na kibabe kwa kutumia otmeli na twita au whatsup kwa namahujaji kukanusha kupiga kura wakiogopea hija yao kupigwa na chini,ni wazi kulifanyika udanganyifu Je utukufu wa Bunge upo wapi ???:mvutaji:
 
Ukiondoa UKAWA, walio baki wote ni vibaka tena washukuru wako mjengoni. Mf Chenge angekuwa kitaa, angakuwa na selo yake special make kila wiki angekuwa anaswekwa ndani.
 
Hata UKAWA nao nawasikia wakisema bunge tukufu ,nao ni wagonjwa wa utapia mlo ,misimamo yao ni nguvu ya soda ,sio endelevu,
 

nautilia shaka uraia wako wewe, maana sio mzalendo na si mpenda maendeleo ya nchi hii, kama umeichoka tanzania kaombe uraia huko nchi nyingine, cha ajabu hii katiba inayopendekezwa ikipita kumbuka kwamba ndo itakubidi uiheshimu sasa cjui kipindi hiko utakuwa umekunywa sumu ufe?
 
ukiondoa ukawa, walio baki wote ni vibaka tena washukuru wako mjengoni. Mf chenge angekuwa kitaa, angakuwa na selo yake special make kila wiki angekuwa anaswekwa ndani.

huna hoja kijana, hayo wala hayaendani na mambo tunayojadili humu, nakushauri uisome katiba inayopendekezwa ujue namna viongozi watakavyowajibika kupitia katiba hii.
 
huna hoja kijana, hayo wala hayaendani na mambo tunayojadili humu, nakushauri uisome katiba inayopendekezwa ujue namna viongozi watakavyowajibika kupitia katiba hii.

Kwahiyo kwa uulewa wako finyu!! Mwizi au mng'ang'ania madaraka ataleta katiba nzr achilia mbali uchakachuzi uliofanyika hadharani?
 
kwahiyo kwa uulewa wako finyu!! Mwizi au mng'ang'ania madaraka ataleta katiba nzr achilia mbali uchakachuzi uliofanyika hadharani?

nahic ubongo wako una utapiamlo, weka hoja za msingi, we unajua ukweli kuhusu katiba hii kuwa imetulia na imejali makundi yote, sasa unachoendelea kung'ang'ana na utukufu wa bunge ni nini? Mwizi ni tabia ya mtu, hapa hatupo kumjadili mtu mmjoja coz hakuna aliye mkamilifu na nahic hata wewe huenda ukawa mwizi kwa namna moja au nyingine, ebu tujadili mambo ya msingi yanayohusu katiba hii pendekezwa coz yako mambo mengiu sana mazuri yenye manufaa kwako wewe unayebishabisha wakati mwisho wa siku unajua kabisa utaiheshimu na kuifata.
 
Kwahiyo kwa uulewa wako finyu!! Mwizi au mng'ang'ania madaraka ataleta katiba nzr achilia mbali uchakachuzi uliofanyika hadharani?

Sasa nimetambua umekuwa na uelewa mdogo na mawazo mgando. Kwanini unakuwa mfupi wa fikra hivyo. Nchi hii ni yetu sote. Simama tujenge msingi imara wa taifa letu, msingi huo ni Katiba ambayo sasa nchi yetu imefikia hatua ambayo tayari tuna Katiba Inayopendekezwa. Isome na mhimize jirani yako aisome acha kuwa kama mtu asiye na malengo katika maisha. Uwe mchango mkubwa wa historia ya Tanzania kupata Katiba Mpya.
 

Mueleweshe huyo coz amekuwa mgumu kuelewa na anachanganya mada humu ndani!
 

ID zenu zote za Tarehe 15/03/2015 , uelewa wenu ni sawa na Duration yenu. Kaa mbali na Mafisadi!!..
 
id zenu zote za tarehe 15/03/2015 , uelewa wenu ni sawa na duration yenu. Kaa mbali na mafisadi!!..

ukubwa wa pua si uwingi wa makamasi, wewe id yako ya zamani lakini kichwani zeroooo, we nani kakwambia kutangulia ndo kufika? Kweli hujielewi au umechanganyikiwa na dozi za maneno ulizopewa? Kakaka unalo hilooo kama imekuuma kunywa sumu ufe.
 
ukubwa wa pua si uwingi wa makamasi, wewe id yako ya zamani lakini kichwani zeroooo, we nani kakwambia kutangulia ndo kufika? Kweli hujielewi au umechanganyikiwa na dozi za maneno ulizopewa? Kakaka unalo hilooo kama imekuuma kunywa sumu ufe.

Una ID nyingi sn mkuu. Am sorry by the way I hope you are empty headed.
 
ID zenu zote za Tarehe 15/03/2015 , uelewa wenu ni sawa na Duration yenu. Kaa mbali na Mafisadi!!..


Mamu the catalyst! Kumbe huna busara kiasi hicho? ID zinahusikaje hapa? Tabia yako ni kama ID yako.Umeona hoja zako zimekosa mashiko umeanza kutafuta pa kutokea. Hata kama utakimbia, neno langu kwako penda nchi yako isome Katiba Inayopendekezwa kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Vinginevyo kama yalivyo mawazo yako inawezekana wewe ni mamluki na una sababu zako ambazo Watanzania hatuhitaji utuchafue na utuchefue kwa fikra zako finyu.
 
wewe tumeshakujua tena mko wengi wa namna hiyo, wala sihitaji kutaja majina, hamuweiz kuweka hoja zaidi ya pumba, una akili kama ya kuku

Ha ha ha situmiki kama ww mkuu!! Na siko hapa kujaza server ndg. Mmenijua ? Ww na team yako au nani? Myopic thinking!!

Mm huwa nasadiki ktk ukweli tu. Hata ww ukileta hoja yenye mantiki na maslahi kwa Taifa nitakuunga mkono. Tusikae kisiasa/ Ki itikadi bila busara, utakuwa wa hovyo kupindukia.


Kama nimekuudhi nisamehe. Hapa ni kueleweshana si uwanja wa matusi wala ubabe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…