Kwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tuDodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Jamaa gani hilo?.Kwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tu
Jamaa yangu siku hizi unatumia kinywaji gani kinakurudishia nguvu ya akili mwilini?Mbona bungeni kuna Hewa 19?
Hahahaaaa........ Ni ile ile mbege bwashee sema siku hizi imepata promo hadi mahakamani!Jamaa yangu siku hizi unatumia kinywaji gani kinakurudishia nguvu ya akili mwilini?
Siyo Mbege yote imepata promo, iliyopandishwa ni Mbege ya RAU madukani.Hahahaaaa........ Ni ile ile mbege bwashee sema siku hizi imepata promo hadi mahakamani!
Kwa urefu wa kamba yako. Ni ruksa mkuuDodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
***** zao wameanza tena, kwani hatuwezi thibiti hii kitu hata kwa kuipa kesi uhujumu uchumi au kifungo kikali jata miaka 20 kwa wausika. Lawama iende kwa treasurer na waahasibu wote wa mikoaDodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.
Mwananchi