Bunge: Wafanyakazi hewa wamerudi, mamilioni yalipwa

Kwani kiasi gani cha pesa kilipatikana baada ya kuwafukuza hao wafanya kazi hewa, lengo ni kutegeneza nafasi ya watu wake tu
Inawezekana ikawa kweli na isiwe kweli pia.
Maana wengi walioondolewa vyeti feki ni walimu, manesi, madereva.
Sasa kweli raisi aondoe madereva au walimu kwa sababu ya vyeti feki alafu aweke ndugu zake? Haingii akilini
Ingekua kwa nafasi za seniors hasa kwenye taasisi kubwa, ningekubaliana na wewe. Lakini bahati mbaya huko wahanga hawakuwepo
 
Hajui watu wamepandishwa madaraja
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.

Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.

Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.

Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.

Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.

“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.

Mwananchi
Hajui watu wamepandishwa madaraja?
 
Hajui watu wamepandishwa madaraja
Hajui watu wamepandishwa madaraja?
Kamati za bunge hufanya kazi na taasisi za serikali pamoja na wizara zote ili kuzisimamia. Una amini huko kote walikopita hawajaambiwa watu wamepanda madaraja? Hiyo taarifa wametoka nayo wizara ya fedha na ndio maana unaona Hilo tatizo halipo halmashauri zote.
Au unataka kusema hizo halmashauri peke yake tu ndio watu wamepanda madaraja?
 
Hilo ni Dili la hazina na wakurugenzi, hazipelekwi kimakosa na mgao unahusisha viongozi wa juu wa hazina na wakurugenzi na timu zao.
 
Kumbe hata Bungeni kuna watanzania wanaojitambua
Hongera sana mwenyekiti wa LAAC

Msaada tafadhali jamani hivi PGA ya Bungeni inahusika na nini na kirefu chake ni nini
Ahsante
 
Watu gani wewe pimbi? Kwa hiyo unaweza kututajia hao watu waliopewa nafasi baada ya kutoa wafanyakazi hawa?
Kwani kiasi gani cha pesa kilipatikana baada ya kuwafukuza hao wafanya kazi hewa, lengo ni kutegeneza nafasi ya watu wake tu
 
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.

Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.

Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.

Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.

Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.

“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.

Mwananchi
Michwa imeshika kasi na inatuna matumbo tu kila siku.
 
Huwezi kusikia upinzani wanapigia kelele hili,
 
Hili ni jukwaa la umbeya wa kisiasa, humu watu wanapiga umbeya tu wenye kuhusiana na mambo ya kisiasa.
Mtu hadi anakuwa na miaka 30+ hajui fani yake
Tatizo linaanzia hapo tusiwalaumu wasiojielewa tutafute namna tuwasaidie
 
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.

Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.

Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.

Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.

Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.

“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.

Mwananchi
Wizi mtupu
 
Kwani kiasi gani cha pesa kilipatikana baada ya kuwafukuza hao wafanya kazi hewa, lengo ni kutegeneza nafasi ya watu wake tu
Acha kuchanganya mambo, waliopigwa chini ni vyeti feki we nyumbu. Bunge limesema kuhusu wizi wa mishahara na malipo hewa ya mishahara.
 
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.

Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.

Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.

Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.

Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.

“Hoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,” amesema.

Mwananchi
Swali kwani Hazina wanalipa kwa kufuata basis ipi?

Kwa nini walipe kiasi ambacho Kiko tofauti? Mbona kila mwezi Kila taasisi inapeleka majina ya wanaostahili kulipwa.

Hao kamati wamefafanua kweli au ni ushabiki wa kisiasa?
 
Back
Top Bottom