jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Kabisa..kwanza wao ndio mafisadi na wezi wakubwa katika hii nchi.Uyo mbunge aache kuharibu ulaji wa watu
Pigana. Tuna misitu.Mshenzi ni mshenzi siku zote! Kama awamu iliyopita kulikuwa na ufisad mbona tumeona miradi mingi ikitekelezwaa...nidhamu ilirudi makazini..pesa za serikal zilikuwa zinadhibitiwaa vilivyoo..awamu hii ni hovyo hovyoo tuu..wazri wa nishati hewaa..viwanda zezetaaa..yaan ni utumbo mtupu!
Kama unashabikia kwa sabab ww n wa mrengo ule wa vibandiko ni ushenzi tuu..vifaa vya ujenzi vimepandaa..alaf wazir na upuuz upuuzi anakuja kusema nataka bei zishuke! Seriously!!! The swahil people are the dumbest of all!! They dont focus on the future..only to fullfill their dumbest desire! I hate these people! Nchi inatakiwa isonge mbele tuache utegemezi kwa asimilia kubwaa bado kuna mtu anazururaaaa tuu huko kuomba omba.! Coup de take inahutajika kwa nchi nying za africa.shwain kabisaaa..viongoz wengi ni vilaza bila kumsahau kingwangala..kutwaa kuchaa anaitisha press kujisafisha ili apate teuzi..shwain kabisaaaaaaaa
Alaa, si lile!Jamaa gani hilo?.
Sidhani kama mbunge anayo data kamili mifumo ya mishahara na ajira ya sasa hivi ni ngumu Sana kwa upigajiUyo mbunge aache kuharibu ulaji wa watu
Akiyesoma ripoti ni hewa na aliowataja nao hewa.Lini watashitakiwa kwa uhujumu uchumiBunge lipi?Hilihili ambamo kuna covid 19 ndilo linahoji watumishi hewa?
Mbona bungeni kuna Hewa 19?
Sio kweli. Wale wote Tanania nzima aliowapiga chini kwa utumishi hewa walikuwa hawampendi?Kwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tu
Kwani kiasi gani cha pesa kilipatikana baada ya kuwafukuza hao wafanya kazi hewa, lengo ni kutegeneza nafasi ya watu wake tuSio kweli. Wale wote Tz nzima aliowapiga chini kwa utumishi hewa walikuwa hawampendi?
Wahuni wamerudi kwenye serikali yao.Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imebaini viashiria vya kuibuka tena kwa mishahara hewa Serikali baada ya kiasi cha mishahara kutoka Hazina kutofautiana na mahitaji halisi ya mishahara katika mfumo wa Lawson.
Hayo yamesemwa leo Alhamis Februari 17, 2022 na Mwenyekiti wa LAAC, Grace Tendega wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za Kamati hiyo katika kipindi cha Januari 2021 hadi Februari 2022.
Ametoa mfano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ambapo mahitaji ya Lawson ilikuwa ni Sh13.16 bilioni lakini Hazina ilitoa Sh13.30 bilioni na hivyo kusababisha ziada ya Sh145. 73 milioni.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua mahitaji ya Lawson yalikuwa ni Sh17.67 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17.88 bilioni hivyo kuwa na ziada ya Sh209 milioni.
Ametaja pia Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mahitaji ya Lawson yalikuwa Sh17.06 bilioni lakini Hazina ilipeleka Sh17. 37 bilioni na ziada ya Sh309.34 milioni.
โHoja hii inaashiria kwamba serikalini kuna usimamizi hafifu wa mfumo wa mishahara. Udhaifu huu usipodhibitiwa utaibua upya mishahara hewa serikalini,โ amesema.
Mwananchi
Mkuu hili jukwa lilisha poteza thamani yake, watu wana mada zao wanazo penda.Hii nchi kuna wapumbavu sana na tutaendelea kuburuzwa hadi mwisho wa dunia kwa sisi tuaminiao maandiko,mtoa mada kaleta taarifa ya upotevu wa pesa kwa mishahara hewa linatokea jitu eti bunge lipi eti urefu wa kamba na mautumbo kibao! ina maana kukiwa na udhaifu sehemu usisemwe kwasababu kuna sehemu unafanyika? bado nchi hii ina safari ndefu sana ya kusimama pamoja kwa maslahi ya taifa, CCM itatawala hadi itapoamua kusema inatosha hata wakiweka chepe litatuburuza kwakua mijitu tumebebea vichwa kamasi.ili jukwa lilisha poteza thamani yake, watu wana mada zao maalumu wanazo penda.
๐๐๐Mbona bungeni kuna Hewa 19?
Hili ni jukwaa la umbeya wa kisiasa, humu watu wanapiga umbeya tu wenye kuhusiana na mambo ya kisiasa.Mkuu hili jukwa lilisha poteza thamani yake, watu wana mada zao wanazo penda.