Bunge: Wafanyakazi hewa wamerudi, mamilioni yalipwa

Kwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tu
Sidhani kama hapa unasema ukweli mkuu; pamoja na kwamba wengi hatukumpenda mwendazake lakini pia ni dhambi kumsingizia mtu hasa akiwa amekufa; haa hata nafsi yako inajua umeongea/umeandika UONGO!
 
Kwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tu
Mimba tu ndo inakusumbua ikikua utaacha
 
TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTEEE
NILALAPO NAKUWAZA WEWEE....
NIAMKAPO NI VISA NA VITIMBI WEEE
 
Kwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tu
Izo chuki bila kufikilia Sasa kama hawakuondoka how? io difference ya mshahara imetokea saiv so ingekwepo tangu kipindi hiko
 
😂😂Kwan adi jf uhuru haukwepo?
 
Kwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tu
Yaelekea na wewe ulikua mnufaika wa udokozi wa Pesa za wananchi sio Bure.
 
Tatizo la halmashauri mwalimu anahamishwa lakini mpaka mwaka unaisha halmashauri hawajahamisha mshahara wake
 
Izo chuki bila kufikilia Sasa kama hawakuondoka how? io difference ya mshahara imetokea saiv so ingekwepo tangu kipindi hiko
Kuna watu walifoji vyeti, waliiba mishahara, nk. walipoondolewa hadi leo wanatukana kwa kila aina ya majina. Hawakubali wizi wao. Leo hii mafuta yamepanda hata hatuoni matusi kama waliyowahi kumpa Magufuli kwenye mafuta.
 
Hawa wafanyakaz hewa ndio wanasababisha vijana wakose ajira kwa kujazna majitu yasiyo na vigezo.

Kuna wapumbav waliokuwa wakisema eti vyeti feki warudishwe kazini, kisa tu walihudumu serikalini kwa muda, huo ni Upumbav mkubwa sana, na kuna watu Wasomi wakubwa lkn walkuwa wakiutetea huo ushenz.

Kwa serkali ya huyu bimdashi, kila uovu lazma urudi kwa kasi, tena kasi kubwa sana.

Mpka kufika2025 hakika tutaongea lugha moja na JF itakuwa reference ya watu kujifunza kutokana na makosa.
 
Angalia baraza la mawaziri lenyewe; unaondoa Lukuvi Ardhi, unaweka mtoto wa Kikwete. Alisema anaondoa mawaziri ambao wameanza kampeini, halafu baada ya kumtoa Lukuvi na kabudi tu katika baranza lote akaruka eti hawa nawachukua Ikulu wanisaidie kama vile hakuna waziri mkuu au katibu mkuu kiongozi. !!
 
Kwani waliondoka lini? C tu lile jama lilibadilisha tu kuondawa watu wasio lipenda na kuweka wa kabila lake tu
Tofautisha watumishi wasiokuwa na sifa kwa maana ya vyeti halisi na Watumishi hewa. Makasiriko yanakuondoa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…