Bunge: Wafanyakazi hewa wamerudi, mamilioni yalipwa

Ni Mwendo wa KULA kwa UREFU wa KAMBA YAKO
 
Hiyo haina shida. Tutaenda kukopa kufidia!
 
Muanze na bunge ndo tutaelewana,msitafute kuku wanaokula pumba za mahindi tafuteni wanaokula mayai na vifaranga.
 
Hizo pesa zinajitoa zenyewe
 
Jamaa yangu siku hizi unatumia kinywaji gani kinakurudishia nguvu ya akili mwilini?
Nguvu ya maembe ya kisiwani na samaki wa nyumba ya Mungu. Akiwa Rombo bwashee anakua haeleweki.
 

 
Siyo Mbege yote imepata promo, iliyopandishwa ni Mbege ya RAU madukani.
Ya RAU MADUKANI inaweza ikawa inatoka kishumundu au PASUA... au hata chekereni au kwingineko... and hence yote imepanda thamani bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…