GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Sema wewe ndio hukuwahi kusikia.Huu ujinga wa Serikali ya Samia kujificha kwenye kivuli cha Serikali ya Magufuli sijui utakwisha lini, Magufuli amekaa hapa zaidi ya miaka 6, hatukuwahi kusikia wanafunzi wakilalamika fedha kuchelewa wala kukosa kwa waliokidhi vigezo fedha zilienda kwa wakati mpaka wakati wa Covid,ampapo Uchumi wa nchi haukuwa mzuri, Sasahivi wakati wa Samia wanafunzi wanalalamika kukosa mikopo tena kwa uwiano, Maana mtoto wa masikini anapata % ndogo wa vigogo wanapata 100%, kamati uchwala zinaleta mambo ya 2016,Kwaiyo ela ya 2016 ndizo zimesababisha wanafunzi hawa kutopata mikopo yao wakati wamekidhi vigezo?Mkitaka kumchafua Magufuli haonekane hakufanya chochote,fanyeni zaidi yake, Sio kutafuta madhaifu ya Magufuli.
Habari za wanafunzi kulalamikia mikopo zimekuepo toka enzi na enzi.
Hata kipindi cha JPM malalamiko yalikuwepo sana.
Uzuri mimi kipindi hicho nilikuwa Chuo.