Bungeni: 2016/18 Bodi ya Mikopo ilitoa Tsh. Bil 1.76 kwa wasio na sifa kwa maelekezo ya Serikali

Sema wewe ndio hukuwahi kusikia.

Habari za wanafunzi kulalamikia mikopo zimekuepo toka enzi na enzi.
Hata kipindi cha JPM malalamiko yalikuwepo sana.
Uzuri mimi kipindi hicho nilikuwa Chuo.
 
Mimi naomba na kama kuna wabunge walijue hilo.

Waziri wa elimu kigezo cha GPA kwa assistant lecturer, hakina maana endapo mtu huyu àna GPA zaidi ya 3.5 kwa level ya masters.
Wapo watu wanafundisha chuo kikuu ana GPA kubwa ila hafahamu undani wa content.
Nchi imekosa wataalamu kwenye fields nyingi lkn watu wapo kisa undergraduate hakuwa na GPA ya 3.5 au 3.8 basi hanasifa ya kufundish chuo kikuu. Hii siyo sawa
 
Naomba serikali na wasomi muelewe hili.
Tanzania kwa sasa na duniàni kote wanahangaika sana ba taaluma ya medical physics(fizikia ya matibabu).
Hii field ni muhimu sana na tz wafizikia tiba wapo sita tu.

Duniani kote fizikia ya matibabu inatambuliwa zaidi kwa level ya masters zaidi lkn tz wanaitambua kwa level ya degree. Ukweli nikwamba ili uwemedical physics lazima usome degree ya physics kwanza na baadae ufanye masters yake. Tuwabadilishie scale ya mshahara wa fizikia tiba, wana pitia maumivu makali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…